Kijuram
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 513
- 374
Acha ubishi mkuu , hapo nairobi ni jirani yetu huyo, kuthibitisha angalia ukumbi wa jomo kenyatta hilo gholofa lenye duara juu nadhani utakubali mkuu, maana uwo ndio utambulisho wa jiji la nairobi
Hapo kweli sio Nairobi, hilo jengo unalosema ni KICC sio. Nairobi hawana METRO. Ukiangalia vizuri hiyo picha utaona kuna njia ya kama reli au barabara(hiyo itakuwa njia ya METRO nadhani) imeingia moja kwa moja kwenye hilo jengo la duara. KICC haina kitu kama hicho.