deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 931
- 503
Ngoja nijaribu kulifanyia kazi, ntarudi.
sio sababu ya kuibia watu pesa zao, km investor anapaswa percent ya profit yke anufaishe jamii. Mwitikio wa watanganyika kujiunga na mtandao wao n ishara tosha yakupewa support na watanganyika, hvyo basi hawana budi kupayback kwa njia ya misaada. hivi nikuulize jirani yako akikupa chance ya kaz kwny kampun yake,then ukasikia anamlaghai binti yko under 18.je utamkenuli meno ksa kakupa kaz? Ama.Amka great thinker.kaa wabongo noma. Eti ka tsh. 0.08 kwa masaa 2 ndo kanawsumbua? Voda inajathd sana kusaidia jamii, nyie mnataka pesa watoe wapi? Mnaacha kuwashambulia mafisadi wakubwa ie mapacha watatu mnaanda voda ambayo haikumalizii hata tsh. 1.0 kwa siku. Acheni hzo jamani.
I thought what Vodacom are charging me for 'mobile internet' services are too low comoared to what am gaining. Nasoma na kutuma mails, nakuja JF nikiwa idle, nasoma BBC, CN9, Al-jazeera nk.Nashangaa sioni tena kale ka meseji kanakoniambia kwamba 'browers' yangu imepitwa na wakati, naona kamejirekebisha kenyewe.unatumia simu aina gani na je ina applicatoons ambazo zinahitaji internet connectivity/zinaji-update auto? Natumia Ideos na inafanya background updates na nashindwa kuthibitisha
hii imekaa vyema!Naona ukitaka prove inabidi uwe na simu ya tochi as haya masimu ya siku izi yanakamua ndani kwa ndani bila kujua hasa updates ila kwa tz ilo lawezekana kama watu wanaiba twiga na ukubwa wote ule sembuse vocha
Kuna mwingine alikuja na wizi wa tigo akadai usiku hela inakatwa nikachunguza ila haikuwa kweli. Ngoja tucheki hili la voda.
Hiyo kali! Great Thinker au umezamia? Huo ni wizi na kuna mwingine wa kubadili rate masaa flani kwa cent kidogo tu ila watanzania tulivyo utashangaa mtu atakwambia cent 5 si kitu, lakini mwizi akatengeneza millioni kadhaa kwa sikuMnaolalamika mnatakiwa kujua simu yako bila mobile network ni sawa na kopo la chooni, haina uhai na ndio maana muda wote inakuwa ina-scan na network, kwa hali hiyo kuna hidden gharama zinajitokeza. Basi linapotembea barabarani bila abiria halitumii gharama?acheni hizo!.
kaa wabongo noma. Eti ka tsh. 0.08 kwa masaa 2 ndo kanawsumbua? Voda inajathd sana kusaidia jamii, nyie mnataka pesa watoe wapi? Mnaacha kuwashambulia mafisadi wakubwa ie mapacha watatu mnaanda voda ambayo haikumalizii hata tsh. 1.0 kwa siku. Acheni hzo jamani.
kaa wabongo noma. Eti ka tsh. 0.08 kwa masaa 2 ndo kanawsumbua? Voda inajathd sana kusaidia jamii, nyie mnataka pesa watoe wapi? Mnaacha kuwashambulia mafisadi wakubwa ie mapacha watatu mnaanda voda ambayo haikumalizii hata tsh. 1.0 kwa siku. Acheni hzo jamani.
TUTAJIE HAO MAPACHA WATATU .......!nkaa wabongo noma. Eti ka tsh. 0.08 kwa masaa 2 ndo kanawsumbua? Voda inajathd sana kusaidia jamii, nyie mnataka pesa watoe wapi? Mnaacha kuwashambulia mafisadi wakubwa ie mapacha watatu mnaanda voda ambayo haikumalizii hata tsh. 1.0 kwa siku. Acheni hzo jamani.
jaribu kusoma mchanganuo wake kwa makini.Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatiliana kuchunguza kinachoendeleakatika mitandao mbalimbali ya simuhapa nchini. Leo naona ni sikumwafaka kuweka bayana jinsi Vodacom inavyoibia wateja wakekama ifuatavyo: Leo asubuhi saa10:48 salio langu lilikuwa shs.278.21 -saa 11:33 ni shs.278.17 - saa 12:29 nishs.278.15 na saa 12:43 nishs.278.13. Yaani salio linajipunguza lenyewe automatically bila ya kuitumiasimu yako kwa rate ya shs.0.08 kilabaada ya masaa mawili. Ndani yamasaa 24, tayari nakuwa nimeibiwana Vodacom toka kwenye salio langukiasi cha shs.0.96. Hivyo basi ukichukulia kwa uchache tu, kiasi chawateja milioni mbili wa Vodacom nikwamba tunaibiwa jumla yashs.1,920,000/= ndani ya siku mojatu! Ukichukulia kwa mwaka mzima,wateja hao hao milioni mbili tunaibiwa jumla ya shs.702,720,000/=. To provethis; hakikisha salio lako kwenye lainiyako ya Vodacom, kisha usipige simuwala kutuma sms ila angalia salio kilabaada ya masaa mawili utaonakinachoendelea.kaa wabongo noma. Eti ka tsh. 0.08 kwa masaa 2 ndo kanawsumbua? Voda inajathd sana kusaidia jamii, nyie mnataka pesa watoe wapi? Mnaacha kuwashambulia mafisadi wakubwa ie mapacha watatu mnaanda voda ambayo haikumalizii hata tsh. 1.0 kwa siku. Acheni hzo jamani.
Ni sms 3 au sms 5? Hapo umenichanganya jambazi.Airtell huduma yao ni ya ukweli, ukituma sms 3, unapewa sms 100, bila longolongo.
tatu tu, unapewa sms 100 bure!Ni sms 3 au sms 5? Hapo umenichanganya jambazi.