Ndibalema
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 10,956
- 4,647
Mkuu umeshafanya uchunguzi lakini?Wivu binafsi
Mkuu umeshafanya uchunguzi lakini?Wivu binafsi
kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia na kuchunguza kinachoendelea katika mitandao mbalimbali ya simu hapa nchini. Leo naona ni siku mwafaka kuweka bayana jinsi vodacom inavyoibia wateja wake kama ifuatavyo: Leo asubuhi saa 10:48 salio langu lilikuwa shs.278.21 - saa 11:33 ni shs.278.17 - saa 12:29 ni shs.278.15 na saa 12:43 ni shs.278.13. Yaani salio linajipunguza lenyewe automatically bila ya kuitumia simu yako kwa rate ya shs.0.08 kila baada ya masaa mawili. Ndani ya masaa 24, tayari nakuwa nimeibiwa na vodacom toka kwenye salio langu kiasi cha shs.0.96. Hivyo basi ukichukulia kwa uchache tu, kiasi cha wateja milioni mbili wa vodacom ni kwamba tunaibiwa jumla ya shs.1,920,000/= ndani ya siku moja tu! Ukichukulia kwa mwaka mzima, wateja hao hao milioni mbili tunaibiwa jumla ya shs.702,720,000/=. To prove this; hakikisha salio lako kwenye laini yako ya vodacom, kisha usipige simu wala kutuma sms ila angalia salio kila baada ya masaa mawili utaona kinachoendelea. Wanasheria tuungane kuwafikisha kortini vodacom kwa wizi huu! Mitandao mingine (airtel, tigo, zantel) hainyonyi wateja wake kwa mtindo wa aina hii!
5 mdau nadhan ameghafirika tuuuuNi sms 3 au sms 5? Hapo umenichanganya jambazi.
yaan hizo huduma za kukopa ndio kabisaaaaa.......mi sioni kazi ya customer services kabisaaaaa,haswa kwenye masuala ya refundNdugu hao ni voda mi nimejuta kukopa tigozamani ukikopa unaambiwa sh 400 unalipa sh 440 baada ya kutumia unatumiwa msgdeni lako ni sh 960 unajiuliza limefika wapi sasa jana nimechoka kabisa nimekopa840 nikapiga tigo kidogo nikatumia salio lako alitohelezi ongeza duh nikawa hoibaada ya muda natumiwa msg deni lako la awali ni sh 1320 yaani nilipoingiza 2000wapendwa nilibakizwa sh 347 tzs nimewapigia tigo wamedai wataangalia yaaniniko hoi najiuliza wanaiba ngapi kwa mwaka
hao wafanyakazi binafsi ni wa kampuni ganiiii?????wanatoka kampun jirani au?????kwa nn menejiment ikae pemben kwenye suala hilo??Ok, tujadili kwa mapana kama Great thinkers,inawezekana unavyouliza salio ndo wanakata charge,but inawezekana na wafanyakaz binafs ndo wezi instead of blaming management. Labda suala liwe mtu anaporeport hatua gani zinachukuliwa then?
Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia na kuchunguza kinachoendelea katika mitandao mbalimbali ya simu hapa nchini. Leo naona ni siku mwafaka kuweka bayana jinsi Vodacom inavyoibia wateja wake kama ifuatavyo: Leo asubuhi saa 10:48 salio langu lilikuwa shs.278.21 - saa 11:33 ni shs.278.17 - saa 12:29 ni shs.278.15 na saa 12:43 ni shs.278.13. Yaani salio linajipunguza lenyewe automatically bila ya kuitumia simu yako kwa rate ya shs.0.08 kila baada ya masaa mawili. Ndani ya masaa 24, tayari nakuwa nimeibiwa na Vodacom toka kwenye salio langu kiasi cha shs.0.96. Hivyo basi ukichukulia kwa uchache tu, kiasi cha wateja milioni mbili wa Vodacom ni kwamba tunaibiwa jumla ya shs.1,920,000/= ndani ya siku moja tu! Ukichukulia kwa mwaka mzima, wateja hao hao milioni mbili tunaibiwa jumla ya shs.702,720,000/=. To prove this; hakikisha salio lako kwenye laini yako ya Vodacom, kisha usipige simu wala kutuma sms ila angalia salio kila baada ya masaa mawili utaona kinachoendelea. Wanasheria tuungane kuwafikisha kortini Vodacom kwa wizi huu! Mitandao mingine (Airtel, Tigo, Zantel) hainyonyi wateja wake kwa mtindo wa aina hii!
khaaa. . . !may be ukiwasha tochi inatozwa hiyo amount....tumia mijisimu mikali kama blackberry
Wizi unafanyika bila kuuliza salio na bila kutumia simu, as I said earlier the balance is reducing automatically every 30minutes by shs.0.02, the only time the deduction ends is when you remove the sim-card out of your phone! Wizi mtupu! Au na wao wame-introduce CAPACITY CHARGES!Ukiona hivo ujue wanacharge Tsh 0.08 kukupa balance, kuthibitisha hii, wala usibiri masaa mawali, check balance, afu check tena, afu check tena, afu check tena kwa (usisubiri masaa mawili) utagundua balane yako inapungua kila inapocheck balance, meaning, voda wana charge ya tsh 0.08 kwa kucheck balance