Tunahubiri elimu bure, madawati tu utata

cantonna

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
1,120
439
Toka mkuu alivyozitaka halmashari zote hapa nchini kuhakikisha zinamaliza tatizo la madawati mashuleni lakini imeshindikana, mfano mkoa wa Mwanza hadi Leo hii wanadaiwa madawati zaidi ya elfu hamsini katika while 800 zilizopo mkoani humo!!!

Lakujiuliza je madawati tu utata.....sasa vitabu mashuleni vitapatikana kweli...???

Fikiri na uchukue hatua ya kuichukia hii serikali inayoua elimu yetu pasipo kuweka mipango!!
 
Toka mkuu alivyozitaka halmashari zote hapa nchini kuhakikisha zinamaliza tatizo la madawati mashuleni lakini imeshindikana, mfano mkoa wa mwanza hadi Leo hii wanadaiwa madawati zaidi ya elfu hamsini ktk while 800 zilizopo mkoani humo!!!

Aiseeh sijui watu wengne tukoje na sijui tunafikiri kwa kutumia nini....Maana mtu anefikiri kwa UBONGO hawezi andika ulicho andika hapo juu...Mkuu tambua ndani ya Familia baba hawezi mlidhisha kila mtoto kwa kumtimizia mahitaji yake kwa asilimia 100 kwa wakati...So tambua SERIKALI ni baba yetu hawezi timiza HITAJI la kila mtu....Ndio maana SERIKALI inajaribu kwa jitihada zake kulimaliza hili NA TUNATAKIWA KUIPONGEZA SERIKALI YA JPM kwenye hili suala la MADAWATI na wewe kama mdau mmoja wao wa ELIMU yetu unatakiwa uonyeshe juhudi hata ya kuchangia na si kuja kulalamika huku mitandaoni...NA SIJUI UNAMFURAHISHA NANI KUANDIKA HIZI PUMBA
 
Sema serikali ni Baba yako.
Mimi serikali siyo Baba yangu.
 
Huwezi kuja na Sera ya elimu bure huku ukijuwa wazi huna resources za kutosha kumudu gharama za elimu....ndo hapo tunaposema kuwa no muongo na aliitumia mbinu hiyo kujipatia kura!!! Kama kweli angekuwa anajua ugumu uliopo angeeleza wazi na so kudanganya!!! Sasa alisema elimu bure na alijipanga kutoa elimu bure why madawati tu yanamshinda.....huko mashuleni wadogo zetu kweli watapata vitabu kweli??
 
Tatizo la watanzania wengi wanataka kujua nini serikali imewafanyia badala ya kujiuliza wameifanyia nini serikali. Lazima tubadilike kama kweli tunataka maendeleo, tujitume kutumikia nchi sio nchi itufanyie vitu.
 
Tatzo haujaanza kuitwa baba au mama Ukifikia hiyo hatua utaona umuhimu wa hili la ELIMU bure......
 
Toka mkuu alivyozitaka halmashari zote hapa nchini kuhakikisha zinamaliza tatizo la madawati mashuleni lakini imeshindikana, mfano mkoa wa mwanza hadi Leo hii wanadaiwa madawati zaidi ya elfu hamsini ktk while 800 zilizopo mkoani humo!!!
Lakujiuliza je madawati tu utata.....sasa vitabu mashuleni vitapatikana kweli...???
Fikiri na uchukue hatua ya kuichukia hii serikali inayoua elimu yetu pasipo kuweka mipango!!

Sawa sawa na kuniambia nisitangaze harusi kisa michango haijakamilika, iache serikali ifanye kazi, mambo mengine hayawez kufanyika kwa haraka namna hiyo wewe unavyotaka iwe. Kuwa mvumilivu serikali una nia ya dhati kabisa wameanza na madawat ili watu wakae vizur hata wakiongezewa hivo vitabu watafurah mana vitakua juu na madawati kuliko kusomea chini.
 
Watu wengine akili zenu hamzishughulishi hata kidogo yaani lawama mpaka mnaboa Kiukweli wewe unadharau hatua ya serikali kutoa elim bure? Jiulize ni watoto wangapi ambao walikosa haki ya kusoma kwa sababu ya michango ya shule? Je, ukianza na wewe mwenyewe, umechangia kipi kusaidia kila mnyonge anapata hii haki ya kibinadam?

Elewa kuwa kila jambo lina changamoto zake, pia jua kuwa mara tu baada ya kutangazwa elimu bure idadi kubwa ya watoto kuanzia ngazi ya elimu ya msingi mpaka sekondari kwa wanaojiunga imeongezeka pia hivyo kuleta changamoto ya madawati, vitabu, madarasa, waalim n.k, hatua ya serikali kutoa elimu bure ni ya kuungwa mkono na sio kulaumulaum bila mantiki, wewe umesaidia nini kuwezesha hata watoto maskini wapate haki hii? Au wewe unaona serikali iache kutoa elimu bure? Nchi hii ni yetu lawama zingine hazijengi tuungane pamoja kusaidia hatua hii kwenda mbele ili kila mtoto apate haki hii.
 
Tatizo la watanzania wengi wanataka kujua nini serikali imewafanyia badala ya kujiuliza wameifanyia nini serikali. Lazima tubadilike kama kweli tunataka maendeleo, tujitume kutumikia nchi sio nchi itufanyie vitu.
Wanapokuja kutuomba kura zetu huwa wanakuja na Sera zao kuwa watatufanyia nini..... Sasa ukiwa kama mwananchi ni haki yako kujua kama serikali imekufanyia nini, sasa kama were hufuatilii hayo basis we no kilaza!!
 
Tatzo haujaanza kuitwa baba au mama Ukifikia hiyo hatua utaona umuhimu wa hili la ELIMU bure......
Tayari naitwa baba na kwakuwa naelewa nini maana ya elimu bure mwanangu sijampeleka kwenye huo uhalo wa shule zenu....nawaonea huruma nyie mnaowapeleka huko kwani elimu anayoipata huko itamtosha kuwa house girl wa mwanangu!!!
 
Sawa sawa na kuniambia nisitangaze harusi kisa michango haijakamilika, iache serikali ifanye kazi, mambo mengine hayawez kufanyika kwa haraka namna hiyo wewe unavyotaka iwe. Kuwa mvumilivu serikali una nia ya dhati kabisa wameanza na madawat ili watu wakae vizur hata wakiongezewa hivo vitabu watafurah mana vitakua juu na madawati kuliko kusomea chini.
Ujue unaweza ukachezea vitu vingine lakini siyo elimu.....elimu huwa haichezewi hata kidogo!!!
 
Toka mkuu alivyozitaka halmashari zote hapa nchini kuhakikisha zinamaliza tatizo la madawati mashuleni lakini imeshindikana, mfano mkoa wa Mwanza hadi Leo hii wanadaiwa madawati zaidi ya elfu hamsini katika while 800 zilizopo mkoani humo!!!

Lakujiuliza je madawati tu utata.....sasa vitabu mashuleni vitapatikana kweli...???

Fikiri na uchukue hatua ya kuichukia hii serikali inayoua elimu yetu pasipo kuweka mipango!!
Vitabu kwa bei ya dukani 7000 vitabu kumi ni kwa bei ya mchapishaji huenda ikawa 40,000 sawa na bei ya dawati moja. Kama wanao uwezo wa kuazimia kununua dawati 50000 hawawezi kushindwa vitabu.
 
Hebu tupe takwimu za nchi nzima ukituonyesha kabla na baada ya agizo hali ilikuwaje na sasa ikoje...?
 
Vitabu kwa bei ya dukani 7000 vitabu kumi ni kwa bei ya mchapishaji huenda ikawa 40,000 sawa na bei ya dawati moja. Kama wanao uwezo wa kuazimia kununua dawati 50000 hawawezi kushindwa vitabu.
Tatizo la vitabu we hulijui.....nenda mashuleni huko ukajionee namna hivyo vitabu vilivyo vya mbinde!!!
 
Si tatizo kama madawati. Vitabu unaweza kuvikamilisha ndani ya miezi miwili hata kwa kuomba idhini toka kwa mwandishi na kampuni na kurudufu nakala nyingi tu kwa bei nafuu. Je dawati unaweza kulirudufu? Naona unachokifanya ni kumkuza paka halafu unaanza kumuogopa kama chui.
 
Aiseeh sijui watu wengne tukoje na sijui tunafikiri kwa kutumia nini....Maana mtu anefikiri kwa UBONGO hawezi andika ulicho andika hapo juu...Mkuu tambua ndani ya Familia baba hawezi mlidhisha kila mtoto kwa kumtimizia mahitaji yake kwa asilimia 100 kwa wakati...So tambua SERIKALI ni baba yetu hawezi timiza HITAJI la kila mtu....Ndio maana SERIKALI inajaribu kwa jitihada zake kulimaliza hili NA TUNATAKIWA KUIPONGEZA SERIKALI YA JPM kwenye hili suala la MADAWATI na wewe kama mdau mmoja wao wa ELIMU yetu unatakiwa uonyeshe juhudi hata ya kuchangia na si kuja kulalamika huku mitandaoni...NA SIJUI UNAMFURAHISHA NANI KUANDIKA HIZI PUMBA
Serikali ndio ilikuzaa wewe?
 
Tatizo la watanzania wengi wanataka kujua nini serikali imewafanyia badala ya kujiuliza wameifanyia nini serikali. Lazima tubadilike kama kweli tunataka maendeleo, tujitume kutumikia nchi sio nchi itufanyie vitu.
kodi tuipatie Serikali halafu tujiulize tumeifanyia nini nchi yetu.
 
Si tatizo kama madawati. Vitabu unaweza kuvikamilisha ndani ya miezi miwili hata kwa kuomba idhini toka kwa mwandishi na kampuni na kurudufu nakala nyingi tu kwa bei nafuu. Je dawati unaweza kulirudufu? Naona unachokifanya ni kumkuza paka halafu unaanza kumuogopa kama chui.
UKAWA wamepanic na wamechanganyikiwa
 
Back
Top Bottom