Tunahubiri elimu bure, madawati tu utata

Tunahubiri elimu bure, madawati tu utata

Tatizo la watanzania wengi wanataka kujua nini serikali imewafanyia badala ya kujiuliza wameifanyia nini serikali. Lazima tubadilike kama kweli tunataka maendeleo, tujitume kutumikia nchi sio nchi itufanyie vitu.
Tumpe mfano wewe binafsi umeifanyia nini serikali ukijibu uje tuendelee na hoja mahaba ya dhati ft ray c
 
Watu wengine akili zenu hamzishughulishi hata kidogo yaani lawama mpaka mnaboa Kiukweli wewe unadharau hatua ya serikali kutoa elim bure? Jiulize ni watoto wangapi ambao walikosa haki ya kusoma kwa sababu ya michango ya shule? Je, ukianza na wewe mwenyewe, umechangia kipi kusaidia kila mnyonge anapata hii haki ya kibinadam?

Elewa kuwa kila jambo lina changamoto zake, pia jua kuwa mara tu baada ya kutangazwa elimu bure idadi kubwa ya watoto kuanzia ngazi ya elimu ya msingi mpaka sekondari kwa wanaojiunga imeongezeka pia hivyo kuleta changamoto ya madawati, vitabu, madarasa, waalim n.k, hatua ya serikali kutoa elimu bure ni ya kuungwa mkono na sio kulaumulaum bila mantiki, wewe umesaidia nini kuwezesha hata watoto maskini wapate haki hii? Au wewe unaona serikali iache kutoa elimu bure? Nchi hii ni yetu lawama zingine hazijengi tuungane pamoja kusaidia hatua hii kwenda mbele ili kila mtoto apate haki hii.
We hujiulizi ni watoto wangapi wamekosa mkopo wakujikimu chuoni
 
We hujiulizi ni watoto wangapi wamekosa mkopo wakujikimu chuoni
Unaona unavyodandia hoja ambazo haziendani, hivi magufuli aliahidi elimu bure katika ngazi zipi? Halafu jua kuwa suala la mikopo lina vigezo vyake usije na ubabaishaji wako hapa wa kuoverlap hoja ambazo haziendani,
hapa kilichopo mezani ni elimu bure aliyoahidi mh. Rais na aliahidi kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne, hiyo ya mikopo wewe imeingiaje hapa? Mnasoma lakini umakini wa baadhi yenu unapotea kwa sababu mmejifunika blanket la kujitoa ufaham.

Nashindwa kuwaelewa nyie mnaojiita wapinzani kwa maana kila hatua ya maboresho na maendeleo inapochukuliwa mnaanza kulalamika, mnapinga elimu bure mnataka iweje sasa, au nyie kwenu hamtaki hii iwepo kabisa?
Use your common sense to comment on serious and touching spheres like this.
 
Serikali baba yako mi sijazaliwa na serikali ukijalibu kutoa point husisha kichwa na si pua wewe itakuwa una ubongo wa paka
Shule ni nzuri sana......Hivi ni ki kuuliza MKE wa serikali ni nani utanijibu vpi??? hope hautakuwa na jibu la kunijibu....MKUU mimi hapa sina maana unayoitaka wewe na UBONGO naamini kabsa ulielewa ninachokimaanisha SEMA ULIKUWA UNAHAMU YA KUTUKANA
 
Serikali ya viwanda, ipo kwenye mchakato wa kuaanda upembuzi wa upembuzi yakinifu kutengeneza detailed design ya kuandaa michoro ya kiwanda cha madawati
. Itakuwa tsyari 2020 na utekelezaji utakukuwa kwenye mpango wa pili wa maendeleo kwenye vision 2020

a satirical look
 
Back
Top Bottom