Tunahubiri elimu bure, madawati tu utata

Tunahubiri elimu bure, madawati tu utata

Si tatizo kama madawati. Vitabu unaweza kuvikamilisha ndani ya miezi miwili hata kwa kuomba idhini toka kwa mwandishi na kampuni na kurudufu nakala nyingi tu kwa bei nafuu. Je dawati unaweza kulirudufu? Naona unachokifanya ni kumkuza paka halafu unaanza kumuogopa kama chui.

Hivyo ulitaka serikal ianze na vitabu? Vyote mbona ni sawa tuu!! Leo wameanza madawati kesho watakuja vitabu. Wangeanza na vitabu uku wanakaa chini huenda kila baada ya mwezi tungekua tunatafuta vitabu vingine maana vumbi na uchafu vingejaa kitabuni. Madawati mpka kuharibika inachukua muda sana kuliko hivo vitabu, sasa kwa kuwa walianza na madawati tegemea vitabu sasa ewe Mtanzania.
 
Kwa hiyo serikali kugharamia elimu ni kuchezea? Kwa mara ya kwanza toka tupate uhuru watoto wetu watakaa kwenye madawati. Endelea kulaumu wakati serikali inapiga kazi
Duu! Acha kujivika ujinga hivi hali zilizopo mashuleni ww unazijua lakini au umelizika na buku saba za Lumumba??
 
UKAWA wamepanic na wamechanganyikiwa
Yaani hoja zao siku hizi ni vichekesho. Hawachelewi kulalamikia swala la maendeleo. Halafu viongozi wao hawasikiki kushughulikia madawati. Yakipatikana utasikia ilani ya chadema elimu elimu elimu
 
Ulikuwa unamjibu niliyemjibu. umeongezea kwenye jawabu langu kwa mtoa mada.
 
Tayari naitwa baba na kwakuwa naelewa nini maana ya elimu bure mwanangu sijampeleka kwenye huo uhalo wa shule zenu....nawaonea huruma nyie mnaowapeleka huko kwani elimu anayoipata huko itamtosha kuwa house girl wa mwanangu!!!
Elimu inatolewa bure ili kuwapa nafasi watoto wa masikini waliokua wanashindwa kwenda shule na kupunguza hao unaowaita house girls wa mwanao,hata hivyo hata hao ulitakiwa uwathamini kwa kuwa watakulelea huyo mwanao kama wanavyoendelea kuwalelea wengine wanaolaumulaumu kama wewe.
 
Minyoo ina madhara saaaana. Mtoa mada ubongo umeathirika na Minyoo siyo bure, huenda hata ktanda kina kunguni. Pole yako hujui ufanyalo mshukuru na shemej yako kukununulia na kisimu cha techno ili utoe uhalo wako humu jukwaani.
 
Naona mbunye yako inakuwasha sasa unahitaji kumbunyuliwa!! Karibu mtoa post npo hapa nakusubiri!!
 
vijana ccm acheni kutetea ujinga,agizo lilisemaje?je agizo limetekelezeka?nini kimetatiza kutotekelezeka!??tatizo LA miaka 50,litaisha kwa mwez mmoja????mna akili nyinyi?elimu bure hakuna michango hlf wananchi wanachangishwa kwa nguvu madawati.hata wananchi wamegutuka sasa
 
Tayari naitwa baba na kwakuwa naelewa nini maana ya elimu bure mwanangu sijampeleka kwenye huo uhalo wa shule zenu....nawaonea huruma nyie mnaowapeleka huko kwani elimu anayoipata huko itamtosha kuwa house girl wa mwanangu!!!
Siamini kama haya yote yanatoka moyoni mwa mtu mwenye utashi na huruma japo ya kibinadam, huyo mwanao usishangae ndo akawa mtumwa wa hao wanaosoma kwa shida bila madawati chini ya elimu bure, usidharau watoto wa masikini wanathamani sawa na ya mtoto wako, Mungu huinua kilicho dhaifu, hayo majigambo si kitu.
Waacheni watoto wa masikini wasome hata kwa shida ili wapate haki yao. God knows the destination of each individual.
 
Sukari tu inawachachafya .....elimu bute wataiwezea wali?
Mchango ya madawati haijaanza jamaa wala juzi.....wakati tunasoma shule ya msingi nakumbuka tulibebeshwa zigo kila mwanafunzi kupitisha kadi ya mchango wa madawati......
Nchi chini ya serikali ya ccm matatizo hayato ishaaaa.....
We viongozi na matumbo Yao makubwa wanaenda kuomba mchango wa madawati huku wakitumiaaa magari ya thamani ......ya serikali.....
 
Toka mkuu alivyozitaka halmashari zote hapa nchini kuhakikisha zinamaliza tatizo la madawati mashuleni lakini imeshindikana, mfano mkoa wa Mwanza hadi Leo hii wanadaiwa madawati zaidi ya elfu hamsini katika while 800 zilizopo mkoani humo!!!

Lakujiuliza je madawati tu utata.....sasa vitabu mashuleni vitapatikana kweli...???

Fikiri na uchukue hatua ya kuichukia hii serikali inayoua elimu yetu pasipo kuweka mipango!!
Asee huko mwanza mnashida, njoo kigoma hususani wilaya kasulu kila walipo maselemara ni mwendo wa kuchonga madawati ninawasiwasi mengine yatakosa pakwenda
 
Siamini kama haya yote yanatoka moyoni mwa mtu mwenye utashi na huruma japo ya kibinadam, huyo mwanao usishangae ndo akawa mtumwa wa hao wanaosoma kwa shida bila madawati chini ya elimu bure, usidharau watoto wa masikini wanathamani sawa na ya mtoto wako, Mungu huinua kilicho dhaifu, hayo majigambo si kitu.
Waacheni watoto wa masikini wasome hata kwa shida ili wapate haki yao. God knows the destination of each individual.

Utadhani yeye ataishi kama jiwe. kuna watu walikua na hela na sasa watoto zao wanalelewa kwenye vituo vya watoto yatima
 
Aiseeh sijui watu wengne tukoje na sijui tunafikiri kwa kutumia nini....Maana mtu anefikiri kwa UBONGO hawezi andika ulicho andika hapo juu...Mkuu tambua ndani ya Familia baba hawezi mlidhisha kila mtoto kwa kumtimizia mahitaji yake kwa asilimia 100 kwa wakati...So tambua SERIKALI ni baba yetu hawezi timiza HITAJI la kila mtu....Ndio maana SERIKALI inajaribu kwa jitihada zake kulimaliza hili NA TUNATAKIWA KUIPONGEZA SERIKALI YA JPM kwenye hili suala la MADAWATI na wewe kama mdau mmoja wao wa ELIMU yetu unatakiwa uonyeshe juhudi hata ya kuchangia na si kuja kulalamika huku mitandaoni...NA SIJUI UNAMFURAHISHA NANI KUANDIKA HIZI PUMBA
Hujui anaefueahishwa??
Utadhani huyu nae ni mbunge wa ccm anarjihesabu kama na yeye ni serikali,
Huyu ni mfuasi wa chama cha upinzani fula sasa na yeye anajihesabu kama na yeye ni mponzani, kila zikifanyika juhudi lazima wazitafutie namna ya kumvunja moyo huyu, tutakuja juta mbele kama libya
 
Huwezi kuja na Sera ya elimu bure huku ukijuwa wazi huna resources za kutosha kumudu gharama za elimu....ndo hapo tunaposema kuwa no muongo na aliitumia mbinu hiyo kujipatia kura!!! Kama kweli angekuwa anajua ugumu uliopo angeeleza wazi na so kudanganya!!! Sasa alisema elimu bure na alijipanga kutoa elimu bure why madawati tu yanamshinda.....huko mashuleni wadogo zetu kweli watapata vitabu kweli??
Kwa hiyo ulitaka hao watoto waliokuwa wamekosa fulsa ya shule kisa michango wafukuzwe wabaki wanaoweza kulipiaa??

Ikumbukwe walikaa chini kwao kumenya mbaazi huku hawajui hata kuandika, wakikaa chini wakijifunza kusoma sio mbaya pia
 
Tatizo la watanzania wengi wanataka kujua nini serikali imewafanyia badala ya kujiuliza wameifanyia nini serikali. Lazima tubadilike kama kweli tunataka maendeleo, tujitume kutumikia nchi sio nchi itufanyie vitu.
Tumeifanyia nini? Tumelipa kodi, PAYE, michango ya mwenge, n.k.
 
Sukari tu inawachachafya .....elimu bute wataiwezea wali?
Mchango ya madawati haijaanza jamaa wala juzi.....wakati tunasoma shule ya msingi nakumbuka tulibebeshwa zigo kila mwanafunzi kupitisha kadi ya mchango wa madawati......
Nchi chini ya serikali ya ccm matatizo hayato ishaaaa.....
We viongozi na matumbo Yao makubwa wanaenda kuomba mchango wa madawati huku wakitumiaaa magari ya thamani ......ya serikali.....
Sibiri mtu afe kisa kakosa sukari
 
Utadhani yeye ataishi kama jiwe. kuna watu walikua na hela na sasa watoto zao wanalelewa kwenye vituo vya watoto yatima
Kweli mkuu jamaa kaonyesha dharau kubwa sana kwa watoto wa masikini anadhani kuwa kusoma shule nzuri ndo kufanikiwa kimaisha
 
Aiseeh sijui watu wengne tukoje na sijui tunafikiri kwa kutumia nini....Maana mtu anefikiri kwa UBONGO hawezi andika ulicho andika hapo juu...Mkuu tambua ndani ya Familia baba hawezi mlidhisha kila mtoto kwa kumtimizia mahitaji yake kwa asilimia 100 kwa wakati...So tambua SERIKALI ni baba yetu hawezi timiza HITAJI la kila mtu....Ndio maana SERIKALI inajaribu kwa jitihada zake kulimaliza hili NA TUNATAKIWA KUIPONGEZA SERIKALI YA JPM kwenye hili suala la MADAWATI na wewe kama mdau mmoja wao wa ELIMU yetu unatakiwa uonyeshe juhudi hata ya kuchangia na si kuja kulalamika huku mitandaoni...NA SIJUI UNAMFURAHISHA NANI KUANDIKA HIZI PUMBA
Serikali baba yako mi sijazaliwa na serikali ukijalibu kutoa point husisha kichwa na si pua wewe itakuwa una ubongo wa paka
 
Back
Top Bottom