Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
Waona mbali waliwatahadhatisha mara nyingi Sana,ila bahati mbaya wakati huo waliishia kuambulia matusi sasa yanatimia.Akili zimewarudi siku hizi baada ya buku 7 kuota mbawa
Kawa hiyo leo unakubali hata wale mnaowaita wapinzani,Mimi nawaita wenye mawazo mbadala,wadai fidia sio.Au unamlenga tu kijana wako pendwa.Hakuna Sheria inakataza kudai fidia,
Mbona yapo makesi kibao tu mahakamani ya Malicious Prosecution??
Hapa naona ni swala la uelewa tu kwa mleta mada pamoja na wewe Ila Sheria haijawahi kukataza mtu yeyote kudai fidia, pale anapohisi ameshitakiwa kimakosa na kadhalilika.Kawa hiyo leo unakubali hata wale mnaowaita wapinzani,Mimi nawaita wenye mawazo mbadala,wadai fidia sio.Au unamlenga tu kijana wako pendwa.
Kama hayo yanawezekena kwa wote na haki ilikuwa ikizingatiwa mbona nchi ingefilisika kwa kuwalipa fidia wenye mawazo mbadala.Najua enzi hii siyo iliyopita.Hapa naona ni swala la uelewa tu kwa mleta mada pamoja na wewe Ila Sheria haijawahi kukataza mtu yeyote kudai fidia, pale anapohisi ameshitakiwa kimakosa na kadhalilika.
Hilo mbona ni Jambo ambalo liko wazi Wala halihitaji kikao chochote kulipitisha.
Ni uamuzi tu wa mhanga yeyote.
Alikuwa mmoja wa wabambikaji hivi sasa anajisafisha.Ulikuwa wapi miaka yote?
Mkuu unafahamu elements za malicious prosecution? Ikitokea mtu kafungwa kwa kubambikiwa baadae akakata rufaaa inakuwaje?Hakuna Sheria inakataza kudai fidia,
Mbona yapo makesi kibao tu mahakamani ya Malicious Prosecution??
Tumia akili acha kutumia makamasi.Ulikuwa wapi miaka yote?
PumbafAlikuwa mmoja wa wabambikaji hivi sasa anajisafisha.
Sasa unahangaikaje na pumbaf,hapo nani zaidi ya mwenzie.Pumbaf
Hakuna kitu kibaya kama kujifanya unajua wakati hujui. Mfano kuna dogo huko Moshi alisingiziwa kumpa uja uzito denti, akapigwa miaka 30. Baadae yule binti anaona huruma kumsingizia mtu. Unadhani kuna sheria hapa bongo inamruhusu kudai fidia huyu dogo?Hapa naona ni swala la uelewa tu kwa mleta mada pamoja na wewe Ila Sheria haijawahi kukataza mtu yeyote kudai fidia, pale anapohisi ameshitakiwa kimakosa na kadhalilika.
Hilo mbona ni Jambo ambalo liko wazi Wala halihitaji kikao chochote kulipitisha.
Ni uamuzi tu wa mhanga yeyote.
Tupe mifano 2 ya waliowahi kudai fidia na kulipwa na serikali...Hakuna Sheria inakataza kudai fidia.
Mbona yapo makesi kibao tu mahakamani ya Malicious Prosecution?
Sasa si uombe tu kuelimishwa badala ya kujitutumua wakati una argue pumba??Hakuna kitu kibaya kama kujifanya unajua wakati hujui. Mfano kuna dogo huko Moshi alisingiziwa kumpa uja uzito denti, akapigwa miaka 30. Baadae yule binti anaona huruma kumsingizia mtu. Unadhani kuna sheria hapa bongo inamruhusu kudai fidia huyu dogo?