gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,277
- 17,749
Wajukuu wa familia ya Sykes vipi?Kwa huu uchawa kwanini watoto na wajukuu wa Baba wa Taifa wasiendelee kula vumbi huku wale wa Mwinyi na Samia wakila mapande makubwa ya keki ya taifa?
Wajukuu wa familia ya Sykes vipi?Kwa huu uchawa kwanini watoto na wajukuu wa Baba wa Taifa wasiendelee kula vumbi huku wale wa Mwinyi na Samia wakila mapande makubwa ya keki ya taifa?
Waje kununua wapeleke kwao,siyo wakarundike buguruni,kumenya na kuanza kuuza vipandeHata mananasi kiwangwa wakenywa huwa wanunuzi wakubwa
Ova
Hatuwategemei wakenya sisi kwa lolote,wao wanatutegemea kwa chakula 40%,vifaa vya ujenzi,walete mbwembwe tusitishe kuwauzia msosi waandamane wauaneReuben Challe
Nkubaliana na wewe kabisa kwenye hili, ukweli kwamba tunategemeana kwa asilimia kubw sana kwa sasa hivyo ni muhimu vitu kama hivi vifanyike kwa hesabu sawa sawa.
Swali zuri sanaBaba yako Nyerere aliwafungulia wafanya biashara kesi za uhujumu uchumi kisa kawakuta na sabuni na sukari ilikua ni wivu au kisirani?