Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Wadau Big up kwa nzur
Ila naomba mnisaidie kupata SIM UNLOCKING CODE za Huawei Y360 U82
Iko locked na mtandao wa vodacom so nikitaka niweze kutumia lain za mitandao mingine
Msaada please
hyo kwa mim mkuu naweza fanya unlock nikiwa nayo mkononi coz kwenye servers za tools zangu sina imei calculator ya huawei y3, subiri wengine waje huenda wakawa nayo kwenye servers zao
 
Ok sawa mkuu
 
speakin of it man..,jana nilitumia nck kuiunlock y3 process ikakubali na ikaanza chaji simu but lock haikutoka ikatoa solution kwamba niifanyie reset kwanza but sikuiona iyo option.., au ndo ile ya reset privacy mkuu
 
principle ya cert ni one cert per one phone na utakapokuta free cert that means inatumiwa na wengi so ukubaliane na yatakayojiri. yeyote atakayetaka cert yenye uhakika yakupasa ununue... nina principle pia ofisini kwangu anapokuja mteja ntamuuliza kama anataka cert ya peke yake au ya kushare na ntampa maelezo ya zote mbili na cert ya peke yake ina gharama na ya kushare ni cheap
watakutega ndugu kuwa mwangalifu
 
speakin of it man..,jana nilitumia nck kuiunlock y3 process ikakubali na ikaanza chaji simu but lock haikutoka ikatoa solution kwamba niifanyie reset kwanza but sikuiona iyo option.., au ndo ile ya reset privacy mkuu
y3 tecno?
 
IMG_6681.JPG
Msaada huawei yangu y530 nilikuwa naitumia kawaida ni kaizima kuiwasha imeandika locked. Na nikitaka fanya hard reset inaniandikia check update pkg, insert ....
 
no y3 huawei yan y360 aliyouliza mkuu apo juu
ubaya wa cracks ni kwamba si kila kazi utafanya hasa latest models zitakuwa zinakupita..ukiwa na NCK box yenyewe hyo ni kazi ya 1min.. nadhani hyo haitembei kwa crack
 
Habari wadau...
Hope tupo poa kabisa nami angina nichangie kidogo free solutions zinaiharibu tasnia hii ya ufundi cm, jambo hili limefanya hata soko la tools nyingi kushuka kwa kiwango kikubwa. Sio soko la flashing box pekee bali mpaka kwa mafund limepungua
Hyo n kwel mkuu
 
Msaada Tafadhali simu yangu inanigomea kila application ikitaka kupata permission inagoma, inaniambia screen overlay detected na ili kuiondoa inanipa direction niende setting then app ili kuruhusu lkn nikifika huko Niki click haikubali. Ni techno w3
 
ubaya wa cracks ni kwamba si kila kazi utafanya hasa latest models zitakuwa zinakupita..ukiwa na NCK box yenyewe hyo ni kazi ya 1min.. nadhani hyo haitembei kwa crack
kuna aja ya kununua nck box hapa hiv inakwenda bei ngap
 
km ni fundi ni lazima uwe nayo asee, last tym niliikuta 370 k koo.. bt kwa ushauri tafuta kitu inaitwa Avenger, yenyewe inafanana kila kitu na nck na zote ni products za NCT TEAM, tofauti kubwa ni kwamba nck inahitaji activation kila ifikapo mwaka na gharama yake ni 35usd nilivyofanya mim last time na tofauti nyingine kuwa kwenye nck samsung zina module yake bt kwenye avenger samsung zipo kwenye main module.. kila kitu zinafanana hadi muonekano wa setup zake
 
iyo avenger nayo humhumo mkuu 370 au
 
iyo avenger nayo humhumo mkuu 370 au
avenger lazima itazidi bei coz yenyewe unatumia for free had pale wenyewe watakapoanza activations, bt kwa pale k koo ninakofanyaga manunuzi ya hizi vitu hawana avenger ila unaweza pata hata kwa mafundi au hata wale wauzaji unawapa order nahisi watakuletea
 
Back
Top Bottom