Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Kw
530 ina chipset ya qualcom, kwenye nck inatoka thru main module na huwezi pata crack ya main module coz ndo module mama
Kwaiyo hakuna crack yoyote itayonisaidia?
 
hebu jaribu kutafuta qualcom smart tool ambayo ni module mojawapo ya furious gold bt iko cracked, cjawahi kuitumia lakin
 
Mkuu Za siku? Aisee nimebadilisha simu ya android sasa nimeshindwa kabisa kupata backup ya my contacts tofauti na huko nyuma ilikua ukiweka tu email kwa simu mpya unapata contacts zakoo... mkuu nifanyeje nipate contacts Za nyuma?
 
aina gani ya cmu unayotumia sahv?
 
Samsung galaxy s7 edge
fungua contacts>option button>contacts to display>weka all.. au fanya ku import contacts from ur google account to either ur sim card or device storage
 
Computer yangu nikiwasha inaandika WINDOW WILL EXPIRE SOON" Vp kuna njia ya kusolve bila kupiga window.

Mkuu ninayo hiyo activator Ila nmejaribu kui upload hapa jamvini imegoma Ila tafuta sasa Google inaitwa KMSpico hii Ina activate windows 10 na windows 8.
 
fungua contacts>option button>contacts to display>weka all.. au fanya ku import contacts from ur google account to either ur sim card or device storage
Mkuu hizi tecno N8 zenye costumized firmware ya ule mtandao pendwa wa express u're self network lock yake tunaitoa vp nmetoka kujarbu hapa kwa crack ya nck box lakini imedunda!
 
baadhi ya cmu ambazo ni latest hasa zenye cpu kubwa kuanzia 67 huwa zinagoma kwa crack, hyo yako umepitia procedures zipi na imegoma kwa kukupa results zipi?
 
Nmejarbu kwa njia ya kuflash na meta mode connection ikagoma result yake inasema error ya "imei maker was found in nvram"
 
Mkuu ninayo hiyo activator Ila nmejaribu kui upload hapa jamvini imegoma Ila tafuta sasa Google inaitwa KMSpico hii Ina activate windows 10 na windows 8.
Ahsante mkuu,ngoja nijaribu.
 
Nmejarbu kwa njia ya kuflash na meta mode connection ikagoma result yake inasema error ya "imei maker was found in nvram"
0717458447... nicheki ili uwe unantumia na image whatsapp km hutojali
 
kupitia BST DONGLE nlishatoa note3 reactivation, s6 n.k we katafute then utakuja kunambia mkuu ni ka ukweli mno
Hakuna smart card pekee? Nina sigmakey yenye card reader
 
Back
Top Bottom