Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,884
- 1,201
Ni mtumiaji tu wa kawaida mkuuni fundi au mtumiaji wa kawaida?
Ni mtumiaji tu wa kawaida mkuuni fundi au mtumiaji wa kawaida?
Mkuu, ni kosa kisheria utashtakiwa acha kabisaNikibadirisha IMEA kuna ttzo gan
Ahsante mkuu, na cable zake nzuri za uhakika nazipata wapiunahitaji UFS/HWK, INFINITY, PHOENIX, ATF n.k... na katika cmu mbaya ni hizo nokia SL3/SL4 maana nyingi kama cyo zote ni lazima ufanye connection thru box
chukua hzo imei zinazotokea ukipiga *#06# then uzitume to 15090... na je hizo imei zinazotokea hapo ni sawa na zilizopo nyuma kwenye sticker ukitoa battery?Mkuu 2991 nina simu samsung galaxy S4 (GT-I9500) tatizo lake ukijaribu kupiga namba inasema 'Not registered on network'. Nimejaribu njia kadhaa ikiwemo kuflash lakini bado ipo hivyo hivyo na IMEI yake ipo sawa. tatizo nini?
530 ina chipset ya qualcom, kwenye nck inatoka thru main module na huwezi pata crack ya main module coz ndo module mamaWakuu kuna huawei y530 ipo locked kwenye tigo,sasa hakuna crack itayonisaidia kutoa lock? Nina nck cracked ila hii sim sio mtk ndio shida
Msaada wakuu
kabla ya kufikiria cable yakupasa uwe na box mojawapo kati ya hayo nlokutajia coz hata ukitumia crack ya BEST itakupasa ufanye connection thru UFS/JAF n.k kwa hzo cmu ambazo hazina usb interface... cable ziko nyingi sanaAhsante mkuu, na cable zake nzuri za uhakika nazipata wapi
nakuunga mkono, had leo cjaonaga crack yenye uwezo wa ku bypass reactivation lock na hata samsung models nyingi za 2016 frp huwa ni utata hadi upate box inayojielewa na hapa all credits goes to BST DONGLE na hakunaga crack ya hii kitu.. all in all, huwezi kjwa fundi makini kwa kutegemea crack au box 1SAMSUNG FRP & SCLOUD PASUA KICHWA TARAJIWA
TUWEKEZE KWENYE VITENDEA KAZI TUACHE VYA BWELELE
reactivation kuna mchawi wangu BST DONGLE, hataki masihara kabisa huyu jamaa.. jana tu nimepga g920f reactivation...Samsung account ya note 4s bado ni issue ngumu ku bypass reactivation lock hata z3x pro na octoplus haziitoi hiyo. So sio iphone tu ndio Amazon hazitoki
chukua hzo imei zinazotokea ukipiga *#06# then uzitume to 15090... na je hizo imei zinazotokea hapo ni sawa na zilizopo nyuma kwenye sticker ukitoa battery?
tikibox ni hardware ambayo inafanya kazi pa1 na software, kwa mfano box yetu ni BST DONGLE kwahyo kale ka dongle ndo hardware while ile installation setup ndo software.. zenyewe huwa zina muunganiko wa codes ambapo mtumiaji kazi yako ni kuchagua operation unayoitaka then those codes zilishakuwa prepared and they will operate as u have chosen... kwa maelezo rahisi ni vifaa ambavyo tunavitumia kufanyia flashing, unlocking and repair n kingine ni kwamba kuna operations ambazo tunaweza kuzifanya pasina kutumia hizo boxes ila zile most advanced zinazohusisha advanced security bac zitahitaji box na si tu box bt box ambayo iko advanced.. baadhi ya simu zenye advanced security ni kama samsung hasa latest models with their securities like REACTIVATION LOCK na hata kwenye kufanya repair hasa hasa reading and writing of certs na hata qcn.. huduma nyingi za hizi simu za kichina huwa zinafanyika na hizo box bt nyingi kama cyo zote huhitaji box.. kuna DEVELOPERS ambao hufanya baadhi ya hizi software za box zitumike bila ya kuwa na hardware yake na kwa lugha rahisi tunaziita CRACKS yaani box software ambayo iko cracked.. kwa mfano Z3X box unaweza ukatumia software yake bila kuwa na hardware yake lakini ikumbukwe box yoyote ambayo iko cracked itafanya baadhi ya kazi na si zote na kwa mfano wa hyo box tajwa hapo juu yaani Z3X operations nyingi za repair and unlock hazitofanya kazi na utakapotumia hizo cracks unakuwa huna uwezo wa kufanya update hadi usubiri developers wafanye cracking ya version tofauti.. watengenezaji wa hizo box huwa wanajua pia kama kuna watu wanaofanya cracking ya software zao hvyo kila wanavyofanya update huwa wana improve securities na ndo maana box nyingi za kisasa zinatumia SMARTCARD tofauti na box za zamani kama VOLCANO,GPG na nyingine... hope ntakiwa nimejibu hata kwa 10% bt sory for very long and boring answer
Nitainunua nione ila mkuu tafuta samsung note 4s ujaribu ku unlock SCLOUD ili nipate uhakika kabla sijanunuareactivation kuna mchawi wangu BST DONGLE, hataki masihara kabisa huyu jamaa.. jana tu nimepga g920f reactivation...