Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

box ni hardware ambayo inafanya kazi pa1 na software, kwa mfano box yetu ni BST DONGLE kwahyo kale ka dongle ndo hardware while ile installation setup ndo software.. zenyewe huwa zina muunganiko wa codes ambapo mtumiaji kazi yako ni kuchagua operation unayoitaka then those codes zilishakuwa prepared and they will operate as u have chosen... kwa maelezo rahisi ni vifaa ambavyo tunavitumia kufanyia flashing, unlocking and repair n kingine ni kwamba kuna operations ambazo tunaweza kuzifanya pasina kutumia hizo boxes ila zile most advanced zinazohusisha advanced security bac zitahitaji box na si tu box bt box ambayo iko advanced.. baadhi ya simu zenye advanced security ni kama samsung hasa latest models with their securities like REACTIVATION LOCK na hata kwenye kufanya repair hasa hasa reading and writing of certs na hata qcn.. huduma nyingi za hizi simu za kichina huwa zinafanyika na hizo box bt nyingi kama cyo zote huhitaji box.. kuna DEVELOPERS ambao hufanya baadhi ya hizi software za box zitumike bila ya kuwa na hardware yake na kwa lugha rahisi tunaziita CRACKS yaani box software ambayo iko cracked.. kwa mfano Z3X box unaweza ukatumia software yake bila kuwa na hardware yake lakini ikumbukwe box yoyote ambayo iko cracked itafanya baadhi ya kazi na si zote na kwa mfano wa hyo box tajwa hapo juu yaani Z3X operations nyingi za repair and unlock hazitofanya kazi na utakapotumia hizo cracks unakuwa huna uwezo wa kufanya update hadi usubiri developers wafanye cracking ya version tofauti.. watengenezaji wa hizo box huwa wanajua pia kama kuna watu wanaofanya cracking ya software zao hvyo kila wanavyofanya update huwa wana improve securities na ndo maana box nyingi za kisasa zinatumia SMARTCARD tofauti na box za zamani kama VOLCANO,GPG na nyingine... hope ntakiwa nimejibu hata kwa 10% bt sory for very long and boring answer
Mkuu hongera unaonekana umeiva kwenye hayo mautundu.
 
Mkuu simu yangu ikikonektiwa kwenye computer haitambuliki zaidi ya kuchaji tu mkuu tatizo liko wapi?.
Maanake unataka kufanya data transfer au kufanya operation ipi. Kama ni hilo hyo micro usb port ya simu yako huenda ni mbovu
 
usb debug kwenye hyo cmu yako iko on?
Hapana sikumbuki kama ipo on , mkuu simu ukiiwasha inaishia kwenye logo baada ya kuipeleka i flashiwe ndo ikawa haionekani kwenye computer simu ni TECNO H6.
 
Hapana sikumbuki kama ipo on , mkuu simu ukiiwasha inaishia kwenye logo baada ya kuipeleka i flashiwe ndo ikawa haionekani kwenye computer simu ni TECNO H6.
Kama inaishia kwenye logo jaribu trick hii bonyeza power na volume down kwa pamoja itawakia kwenye factory mode. Yanaweza yakaja maandishi kwa lugha ya kichina au kiingereza, kuna sehemu utaona neno emmc shuka hadi hapo halafu bonyeza power batani. Simu yako inaweza ikapona kwa njia hiyo lakini kama itashindikana kuwaka itabidi ubadilishe usb port. Je, simu yako ina custom recovery? Kama inayo nijibu nikupe njia ya mwisho.
 
Nimejaribu mkuu Mimi tena lakini wapi yaani hapa nahisi kufa, sina raha kabisa. Angalau ku peruzi peruzi jamii forum kunanipa faraja kidogo .
 
Nimejaribu mkuu Mimi tena lakini wapi yaani hapa nahisi kufa, sina raha kabisa. Angalau ku peruzi peruzi jamii forum kunanipa faraja kidogo .
Ulifika kwenye emmc ikagoma? Kuhusu custom recovery je?
 
Kama inaishia kwenye logo jaribu trick hii bonyeza power na volume down kwa pamoja itawakia kwenye factory mode. Yanaweza yakaja maandishi kwa lugha ya kichina au kiingereza, kuna sehemu utaona neno emmc shuka hadi hapo halafu bonyeza power batani. Simu yako inaweza ikapona kwa njia hiyo lakini kama itashindikana kuwaka itabidi ubadilishe usb port. Je, simu yako ina custom recovery? Kama inayo nijibu nikupe njia ya mwisho.

Na kuhusu custom recovery sijui hata ndo nini hicho ,please msaada wako kwangu ni muhimu sana.
 
Hapana sikumbuki kama ipo on , mkuu simu ukiiwasha inaishia kwenye logo baada ya kuipeleka i flashiwe ndo ikawa haionekani kwenye computer simu ni TECNO H6.
sasa km cmu ina bootloop ulitaka uhamishe data btn cmu na Pc kwa mazingira gani?.. Inatakiwa uflash hyo cmu yako, km uko smart enough unaweza jaribu mwenyewe bt kuepuka risks and time saving peleka watu wenye ujuvi na hizo kazi
 
Shida yake usb port haisomi na hajasema kama alibadirisha ikagoma au la.
ckuwa nmemuelewa kwa maelezo yake.. alisema akiconnect cmu kwenye computer haisomi ili afanye data transfer. Abadilishe kale ka plate cha chini chote na akifail bac custom rom ndo his last option
 
Back
Top Bottom