Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Sidhani kama hata wewe mwenyewe umerudia ulichoandika na kukielewa mkuu
Ni hivi mara nyingi simu za huawei mfano y530 ikiwa inawaka inaandika huawei af haiendelei zaidi ya pale hapo inamaanisha lazima iwe flashed so ukienda kwa mafundi iwaambie nataka flash huawei wanasema hatuflash
 
Duh!!! Pole hao mafundi labda ungeniambia wanasema haiflashiki baada yakujaribu nakuona kitu kinaitwa emmc is read only hapo sitawalaumu . Ila kama wanaanza tu kusema hawaflash hapo watakuwa wanakosea ndugu maana zingine zinaflashika tena vizuri sana
 
Kwani ukiswitch pale kwenye airplane mode inaandikaje?
INACHEZA CHEZA TU Pale kwenye airplan WALA HAIFUNGUKI. Brother nakuhakikishia kana ukinisaidia namna ya kuitoa airplan mod nitakutumia hata vocha mkuu. Huku niliko hakuna mafundi wa kuaminika naogopa wasije niharibia simu yangu. Ninawiki kama tatu siitumii
 
nyote mnakaribishwa ndugu.. msaada ni totally free and charges are only when neccessary
Msaada mr.
1.Simu km ipoteza imei. Ukiiflash kwa original firmware inaweza kufix imei?
2.Kwenye crack ya miracle box, ukibonyeza mtk, service kweny mstari wa write, chini kuna button mbili zimemiss ambazo hutumika kurepair imei kwa chini kuna calibration na unlock bootloader. Msaada wa kufix hili hizo button mbili zionekane.
Thanks in advance
 
Duh!!! Pole hao mafundi labda ungeniambia wanasema haiflashiki baada yakujaribu nakuona kitu kinaitwa emmc is read only hapo sitawalaumu . Ila kama wanaanza tu kusema hawaflash hapo watakuwa wanakosea ndugu maana zingine zinaflashika tena vizuri sana
Msaada mr.
1.Simu km ipoteza imei. Ukiiflash kwa original firmware inaweza kufix imei?
2.Kwenye crack ya miracle box, ukibonyeza mtk, service kweny mstari wa write, chini kuna button mbili zimemiss ambazo hutumika kurepair imei kwa chini kuna calibration na unlock bootloader. Msaada wa kufix hili hizo button mbili zionekane.
Thanks in advance
 
Msaada cm yangu nikitumia jf na insta kidogo tu inaenda kujizima na kurudi kweny menu app zngine freshi
 
Msaada mr.
1.Simu km ipoteza imei. Ukiiflash kwa original firmware inaweza kufix imei?
2.Kwenye crack ya miracle box, ukibonyeza mtk, service kweny mstari wa write, chini kuna button mbili zimemiss ambazo hutumika kurepair imei kwa chini kuna calibration na unlock bootloader. Msaada wa kufix hili hizo button mbili zionekane.
Thanks in advance
ukisema tu cmu haitoshi mzee.. taja brand na model na kuna namna nyingi za cmu kupoteza imei ambapo kuna zero imei, kuna unknown baseband, invalid imei n.k kwahyo ukitaja hyo namna ya kupoteza imei unayomaanisha itakuwa vema maana kuna ambazo zinaweza kuwa fixed by flashing latest firmware na baadhi can be fixed by writting nv file while others can be fixed easily by repair... kuhusu hyo crack ya miracle cjaelewa bado nini unachohitaji bt nambie unatumia version ipi ya hyo miracle crack
 
*Ni Invalid imei
Kweny crack ya miracle box karibia zote zimemiss button mbili. Ukifungua miracle box, ukibonyeza mtk, kisha service, chini ya neno write kuna miss button mbili ambazo ni IMEI(Switched 0ff), IMEI (Switched on) kwa chin kuna fuatia calibration na unlock bootloader.
Na hizi button moja wapo ndizo hutumika kurepair imei kweny box la miracle box. Sasa hazipo naomba msaada ili zionekane hizo button
 
*Ni Invalid imei
Kweny crack ya miracle box karibia zote zimemiss button mbili. Ukifungua miracle box, ukibonyeza mtk, kisha service, chini ya neno write kuna miss button mbili ambazo ni IMEI(Switched 0ii), IMEI (Switched on) kwa chin kuna fuatia calibration na unlock bootloader.
Na hizi button moja wapo ndizo hutumika kurepair imei kweny box la miracle box. Sasa hazipo naomba msaada ili zionekane hizo button
mzee unataka kila kitu upate kwenye crack??, nunua box... umetaja invalid but hujanambia ni cmu gani na hujanambia hyo miracle ni version ipi
 
Sawa mr.
Nishafix kila kitu mr kwa miracle box crack. Hizo button mbili zilizomiss za miracle box imei (power off), na imei (power on) nimeshazifix.
Thanks anyway
 
mzee unataka kila kitu upate kwenye crack??, nunua box... umetaja invalid but hujanambia ni cmu gani na hujanambia hyo miracle ni version ipi
Crack inasaidia mr japo huwezi kufanya mambo mengi lkn inaokoa gharama. Huwezi kuwa na mabox yote km miracle, nck, infinity, volcano, nk. Ukilknganisha na uchumi wa kitanzania taa nyekundu inawaka inakubidi uweke km milion 3. Lkn kwa crack unapunguza gharama, ukiwa na box moja tu linatosha.
Leo nimerepair imei kwa miracle box crack
 
Back
Top Bottom