Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

mzee unataka kila kitu upate kwenye crack??, nunua box... umetaja invalid but hujanambia ni cmu gani na hujanambia hyo miracle ni version ipi
Kwenye site yako matangazo uliyoyaweka ni kero sana. Nimeingia mara 3 tu sidhani km nitarudi tena kwasbb ya matangazo. Baadhi ya program unacharge hela km nck samsung crack, ir-hkey hizi baadhi na kwa kero za matangazo nimenyoosha mikono. Utoe hela na bado matangazo iwe kero (hayo matangazo uliyoweka ni kero sana).
Ungekuwa unatembelea sites zingine ingekusaidia kuboresha site yako. Umenifanya mpaka nimepata site ambayo kila kitu ni free. Ni kuwa na bundle tu vyote ulivyoviweka kule ni buree kbsa na nimepakua mzigo wa maana.
N.B
Umeweka propeller ads, jitahidi karibia kila kitu kiwe free ili upate watambeleaji wengi sbb hayo matangazo ni nuksi zaid ya nuksi. Mwenyew nimekoma kuingia kweny sites ingekuwa ni free ningejitahid kila siku niingie lkn mh. Hata nck samsung box crack nayo ni hela? Nipe password zake mr
 
Sawa mr.
Nishafix kila kitu mr kwa miracle box crack. Hizo button mbili zilizomiss za miracle box imei (power off), na imei (power on) nimeshazifix.
Thanks anyway
Kwa hyo hzo button ndio umefanya zikapatikana au umefix vipi?
 
Kwenye site yako matangazo uliyoyaweka ni kero sana. Nimeingia mara 3 tu sidhani km nitarudi tena kwasbb ya matangazo. Baadhi ya program unacharge hela km nck samsung crack, ir-hkey hizi baadhi na kwa kero za matangazo nimenyoosha mikono. Utoe hela na bado matangazo iwe kero (hayo matangazo uliyoweka ni kero sana).
Ungekuwa unatembelea sites zingine ingekusaidia kuboresha site yako. Umenifanya mpaka nimepata site ambayo kila kitu ni free. Ni kuwa na bundle tu vyote ulivyoviweka kule ni buree kbsa na nimepakua mzigo wa maana.
N.B
Umeweka propeller ads, jitahidi karibia kila kitu kiwe free ili upate watambeleaji wengi sbb hayo matangazo ni nuksi zaid ya nuksi. Mwenyew nimekoma kuingia kweny sites ingekuwa ni free ningejitahid kila siku niingie lkn mh. Hata nck samsung box crack nayo ni hela? Nipe password zake mr
hakuna program inayouzwa kwanza.. ninachouza on my site ni some exclusive files, latest mtk and spd phones unlocked firmwares na certs only.. all cracks and tools are totally free n hyo nck samsung tool nlishapost its passwords.. kuhusu ads ntalifanyia kazi na ntaachana propeller maana wana hadi porn ads hawa jamaa...KARIBU TENA MZEE, good and exclusive stuffs everyday
 
Hapo itakuwa poa sana. Propeller zinaziba hata kitufe cha kudownload.
Usisahau na kuweka password ya IR-HKEY htc.
Kiufupi ifanye site yako km kijiwe cha kutatulia matatizo ya simu mbali mbali niliipenda sana ile ya kutambua chipset km ni mtk, spd
Tupo pamoja mr
 
Je wewe ni mdau au mtaalam wa mobile flashing, unlocking and repair?
Kama jibu ni ndiyo basi leo tunakuletea habari njema kabisa. Najua kwenye tasnia hii ya mobile software kuna wadau huwa tunakutana na kazi ambazo huwa tunashindwa kuzifanya hasa kwa kuwa tu hatuna professional tools za kufanyia kazi husika na hii hupelekea kuacha kazi kwa kumpa mtu mwingine au hata kuachana na hyo kazi kabisa. Lakini ulishawahi kujiuliza hadi leo umeacha kazi ngap? ungezifanya hizo zote zingekuingizia pesa ngapi?.

Sasa huna haja tena ya kuacha kazi yoyote eti kwa sababu tu huna tool husika ya kufanyia hyo kazi kwani tunakusogezea huduma mikononi mwako kwani kuanzia sasa tunaweza fanya kazi yako bila ya kutuletea simu yako tulipo yaani wewe unabaki hapo ulipo na sisi tunafanya kazi yako huku tulipo

Kazi tunazofanya ni aina zote za unlocking kuanzia Network unlocking, userlocks pamoja na frp unlocking kwa simu zote pamoja na aina zote za repair
Tunachokifanya ni wewe kutupa sisi access ya Pc yako na kisha sisi tutaforward port ya cmu yako ambayo imechomekwa kwenye pc yako kisha tunaifanyia kazi au tunaforward port ya flash box husika kuja kwenye Pc yako kisha wewe utatumia hyo box kana kwamba imekuwa connected direct on ur Pc

Unachotakiwa ni kufanya installation ya Teamviewer/anydesk/ultra viewer kwenye pc yako ili tuweze kupata access on ur Pc kisha install flexihub on ur pc kisha sisi tutakufanyia kazi yako kwa ufanisi mkubwa zaidi. Utaratibu ni kwamba malipo yanafanyika kabla ya kazi na endapo kazi itashindikana basi tunarudisha pesa yako 100%.

Hii siyo tu kwa wataalam na mafundi lakini pia inakuhusu hata wewe mtumiaji wa kawaida wa simu yako pale inapotokea unataka kurekebisha cmu yako lakini hujui uipeleke wapi au hata huna muda wa kuipeleka kwa mtaalam basi tutakuhudumia popote pale ulipo bila kujali umbali, chamsingi ni wewe kuwa tu na Pc.

Pia tunatoa unlock codes kwa namna mbili. Aina ya kwanza ni codes ambazo tunafanya calculation wenyewe baada ya wewe kututumia imei za cmu husika na aina ya pili ni zile codes ambazo baada ya wewe kututumia imei basi na sisi tunahusisha third party ili kupata codes yaani sisi pia tunaomba access kwenye server husika na baada ya wao kutupatia sisi codes ndipo na sisi tutakupa wewe unlock codes.
0717458447
0752842283
0712842283

KARIBUNI NYOTE
 
Hapo itakuwa poa sana. Propeller zinaziba hata kitufe cha kudownload.
Usisahau na kuweka password ya IR-HKEY htc.
Kiufupi ifanye site yako km kijiwe cha kutatulia matatizo ya simu mbali mbali niliipenda sana ile ya kutambua chipset km ni mtk, spd
Tupo pamoja mr
tuko pa1 mzee
 
Na pia kuna Tecno w5 lite imekufa mkanda wa power button ni kiasi gani.
 
Mr search button siioni kweny blog yako. Mwanzoni nilikuwa naiona lkn sasa hivi haipo. Jitahidi uweke mr
ngoja niicheki.. bt niko on my pc inaonekana vema labda cjajua kwenye mobile devices
 
ngoja niicheki.. bt niko on my pc inaonekana vema labda cjajua kwenye mobile devices
Mr NCK SAMSUNG crack zijapata folder password. Nimetafuta kadri niwezavyo lkn mpaka sasa sijapata. Uliniambia utaweka lkn naona bado, nimejaribu ile inayoishia SA lkn wapi. Km kuna uwezekano naomba password yake na pia ya IR-HKEY.
 
hizo ni hardware issues mzee, hapa ni software pekee
Ishu iko hapo ulivyobadili heading na kusomeka "Tunafanya flashing , unlocking na repair kwenye simu" hiyo repair ni specific kwa software tu au na hardware? Hukusema b4
 
Habarini wana JF, hope mko gud mnaendelea na harakati za weekend.
Mimi ni mdau wa mobile software na mara zote huwa napenda kushare contents na skills zangu na kujifunza vitu vipya kutoka kwa wenzangu pia.

Napenda hayo yatokee kwa wana tasnia wenzangu ili tuweze kusaidiana, tunaweza kushare roms, tools, repair and unlock contents like efs,qcn,nvm, certs n.k....na tukifika mbali zaidi ili tuweze kushare ujuzi na contents kwenye tasnia..ujuzi, contents na msaada wowote, karibuni tujuzane
Aisee....Nina HTC hd7...haisave contact za watu....haifungui SMS.....email....Bluetooth.... WiFi.... Kiufupi ni useless isipokuwa kupiga na kuingia internet.... Ni windows 7 phone....unaweza kuiunlock?....Pleaseeee.......naona mafundi wengi wamechemka.....
 
win7 has got lots of bugs mzee, ngoj nicheki kama inaweza pokea any update then ntakujuza
 
Back
Top Bottom