Elya
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 296
- 176
Hiyo hata mimi sijawahi kuona simu inayojilock yenyewe labda tungoje wenye uzoefu zaidNaomba msaada,simu yangu ya blackberry z10 imejilock,kama kuna yeyote anayeweza kuia-unlock tafadhali
Hiyo hata mimi sijawahi kuona simu inayojilock yenyewe labda tungoje wenye uzoefu zaidNaomba msaada,simu yangu ya blackberry z10 imejilock,kama kuna yeyote anayeweza kuia-unlock tafadhali
Ni tecno y3+Umeiflash mwenyewe au ni fundi kaflash na je hiyo ni simu aina gani na model gan
Kama ni tecno, ku stack ni kitu cha kawaida tu. Mimi ilinibd niuze k7 yangu ata haijafika miez 6 toka ninunue toka dukani kwa upuuzi huo.Ni tecno y3+
Niliipeleka kwa fundi
Ok niliuliza hivyo maana unaweza kuta baadhi ya mafundi wanaweza tena kuireset simu then wanamwambia mteja wameshaflashNi tecno y3+
Niliipeleka kwa fundi
Inahusu nini?Wakuu habar nataka join in wasap grupu naambiwa link ime revoked pleas admin add me o nitumie link ya grupu joh! 0755161970
Unataka ujoin hilo group kama naniWakuu habar nataka join in wasap grupu naambiwa link ime revoked pleas admin add me o nitumie link ya grupu joh! 0755161970
Mkuu mi ROM sina tatizo ila nahitaji kujua KUHUSU Driver na cracked flash tools pamoja na tutorials za kutumia hizo tools if possibleKWA UHITAJI WA ROM YOYOTE, DRIVERS, FLASH TOOLS HASA CRACKS na TUTORIALS JUST ASK AND TUTASAIDIANA WERE POSSIBLE NA MSAADA HAPA NI TOTALLY FREE
Yeah inawezekana 100% ilabaada ya hapo itakupasa kuingiza info za apple id ya simu husika ili uweze kutumia.Mnaweza ku unlock iphone 6;;;;; sijamaanidha kutoa icloud apana passwd yakwaida
Wipe data/cache ikichomoa inabidi uiflashWakuu habari....mimi ni fundi simu na ufundi wangu sina mda mrefu nimekutana na tatizo la simu aina ya tecno y3+ naomba msaada wa maelekezo kwani hii simu kila nikiiwasha inaganda sehemu ya erasing na haiendelei mbele,,napaswa nifanye nini ili ni solve hili tatizo?View attachment 915279
blackberry classic kutoka Vodafone Uk imeshindikana kuunlock kwa orginal code je Kuna namna ya kuitoa network lock?Weka model na je ukiweka line tofauti inadai unlock codes?
Ndio inawezekana tuwasiliane kwa 0766334991Wakuu habari...?..nina uhitaji wakuupdate version ya htc one kutoka android version 4.4.3 kuwa version 5 or 6...naomba msaada
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 974414