son_of_masia
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 378
- 265
Inawezekana mkuu,tuwasiliane kwa 0766334991blackberry classic kutoka Vodafone Uk imeshindikana kuunlock kwa orginal code je Kuna namna ya kuitoa network lock?
Inawezekana mkuu,tuwasiliane kwa 0766334991blackberry classic kutoka Vodafone Uk imeshindikana kuunlock kwa orginal code je Kuna namna ya kuitoa network lock?
Hyo kazi naiweza tuwasiliane 0766334991Ninasimu aina ya mobicl metr inaishia kwenye logo haiendlei mwenye ujuzi nazo ani pm aniflashie..
Poa mkuuNdio inawezekana tuwasiliane kwa 0766334991
...Msaada
Tatizo: Not registered on network
Simu: S6 Edge
Imei za simu ninazo.
Screenshot ya Tatizo hii hapa
View attachment 975685View attachment 975686View attachment 975687
...
jaribu kuselect network operator mannually.
kuweni na katabia ka mrejesho hata kama ..
...
...Haijakubali mzee
Nimejaribu kuomba hapa wengi wao wanasema ni repair Imei...
unapata listi ya mitandao ..?
sim card yako ni mpya ..?
...
...Nimejaribu kuomba hapa wengi wao wanasema ni repair Imei
Msaada "Not registered on network" - JamiiForums
Haitaji msaada huyo zaidi ya kuleta ujuaji,yy anaona ni task easy sana ss mwache apambane na hali yke tu....
hili sio suala la demokrasia ...
angalia pande zote za sarafu ...
...
Mkuu tumia vpn n weka nchi za ulaya hapo itapita vizuri tu.Vp. iphone 6 plain refurbished
Inagoma kupita kwenye inadema fail to connect with the sever activationView attachment 975898
Sorry chief. Kama unakereka na majibu yangu ila sijaleta ujuajua kama unavyosema. Najua tumepisha Pm kwa kutaka malipoHaitaji msaada huyo zaidi ya kuleta ujuaji,yy anaona ni task easy sana ss mwache apambane na hali yke tu.
Endelea kusubiria vya bure mkuu,na atakayefanya hyo kazi for free atakuwa ni kilaza.Sorry chief. Kama unakereka na majibu yangu ila sijaleta ujuajua kama unavyosema. Najua tumepisha Pm kwa kutaka malipo
Great!Endelea kusubiria vya bure mkuu,na atakayefanya hyo kazi for free atakuwa ni kilaza.
Baseband issue. Hapo ilipo cmu yako haina Imei au SN. Hardware issue ambapo unatakiwa kuchange au reball baseband chipVp. iphone 6 plain refurbished
Inagoma kupita kwenye inadema fail to connect with the sever activationView attachment 975898
Imei status inatakiwa iwe OK... huwezi pata network ukiwa na NG as imei statusMsaada
Tatizo: Not registered on network
Simu: S6 Edge
Imei za simu ninazo.
Screenshot ya Tatizo hii hapa
View attachment 975685View attachment 975686View attachment 975687
mkuu habar nina tecno s1 inaishia kwenye log ya tecno kuwaka nafanyaje kulimudu hili0717458447... nicheki ili uwe unantumia na image whatsapp km hutojali