Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

sasa km cmu ina bootloop ulitaka uhamishe data btn cmu na Pc kwa mazingira gani?.. Inatakiwa uflash hyo cmu yako, km uko smart enough unaweza jaribu mwenyewe bt kuepuka risks and time saving peleka watu wenye ujuvi na hizo kazi

Ndo nimewapelekea mafundi waiflash lakini haionekani.
 
ckuwa nmemuelewa kwa maelezo yake.. alisema akiconnect cmu kwenye computer haisomi ili afanye data transfer. Abadilishe kale ka plate cha chini chote na akifail bac custom rom ndo his last option
Hapana mkuu siyo suala la data transfer ni masuala ya kuiflash ndo nimewapelekea mafundi wenyewe waiflash ikawa haiwi detected kwa maana computer haiitambui sijui kama umunielewa mkuu.
 
Hapana mkuu siyo suala la data transfer ni masuala ya kuiflash ndo nimewapelekea mafundi wenyewe waiflash ikawa haiwi detected kwa maana computer haiitambui sijui kama umunielewa mkuu.
hapo nmekuelewa vema.. Una option ya kubadilisha hyo usb slot ya cmu yako au kutoa hyo partition yote inayobeba usb slot, microphone and vibrator then wajaribu kuiflash tena na kama itashindikana kabisa bac toa hyo circuit yako then iwekwe kwenye body nyingine then zoezi liendelee
 
Watu wengine tuna vichwa vigumu kama hutojali nielekeze hatua kwa hatua.
 
Hau hamna option ya kuiflah kwa kutumia sijui Customer recovery .
 
Saketi yaSamsung GT-N7000 inahitajika. Na pia saketi ya samsung SM-N910H inauzwa 100k na saketi ya samsung GT-I9500 inauzwa 50k. Kwa yeyote mwenye uhitaji au mwenye vice versa yake aje pm tuyajenge. Location ni Kibaha
 
Naombeni msaada sim yang ina stuck mara kwa mara na imekuwa nzito

Niliflash pamoja na kufany factory reset lakin tatiz lipo pale pale
 
Naomba msaada,simu yangu ya blackberry z10 imejilock,kama kuna yeyote anayeweza kuia-unlock tafadhali
 
Naombeni msaada sim yang ina stuck mara kwa mara na imekuwa nzito

Niliflash pamoja na kufany factory reset lakin tatiz lipo pale pale
Umeiflash mwenyewe au ni fundi kaflash na je hiyo ni simu aina gani na model gan
 
Back
Top Bottom