Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Natumia voda na nipo sehem ambayo net ipo muda wote ila cm yangu inazingua tuu ikikata inarud
1512646443851.png
 
Wakuu nimepoteza simu na IMEI sizikumbuki ila nilishawahi kuskia kuwa naeza pata IMEI kupitia google account yangu kama ntakuwa nishawai kulog in kwayo.

Nauliza kama njia hiyo ni applicable nafanyeje??
Na kama hii haiwezekani naeza tumia njia gani nyengne kuzipata.

Msaada plzzzz
 
Asante kaka, Nikutakie mhangaiko mwema ili niweze kufanikiwa , mana hawa jamaa wanabana kweli huku kwao.
Kaka za siku mbili tatu, bado nimekwama, kuna video moja nimeiona katika kuhangaika, hebu ione kama inaweza nifaa na kama naweza kufanya mwenyewe au kama haitahitaji vifaa vingi kuwa navyo zaidi ya USB cable labda.
 
ok nikumbushe kesho nikitafutie gapps na twrp recovery kisha nitakupa maelezo mengine inshaallah
Kaka za siku mbili tatu, bado nimekwama, kuna video moja nimeiona katika kuhangaika, hebu ione kama inaweza nifaa na kama naweza kufanya mwenyewe au kama haitahitaji vifaa vingi kuwa navyo zaidi ya USB cable labda.
 
Kaka za siku mbili tatu, bado nimekwama, kuna video moja nimeiona katika kuhangaika, hebu ione kama inaweza nifaa na kama naweza kufanya mwenyewe au kama haitahitaji vifaa vingi kuwa navyo zaidi ya USB cable labda.

hii video ni kwa ajili ya stocrom sasa stockrom ya simu yako g9520 haina playstore inabidi upate coverted rom to g925f au upate custom rom kuna rom nimeiona nitaidownload ili nijue utaiingiza kwa twrp au odin.... tuko pamoja
 
Nan ameshawahi kutoa write data protected katka flash na laifnyaje msaada nmejaribu tutorial gugo wap help plrase
 
Vp ushafanikiwa kuunlock hyo simu yako?
huwez unlock s6 kwa crack...baadhi ya mitandao km metro pc nk huwa wana unlock app kwenye cmu zao na unaweza unlock for free thru hyo app km cmu husika iko eligible to be unlocked na kigezo kikubwa huwa ni muda maana huwa wana specific time baada ya kutumika cmu ndo inaweza kuwa unlocked for free
 
Wakuu nimepoteza simu na IMEI sizikumbuki ila nilishawahi kuskia kuwa naeza pata IMEI kupitia google account yangu kama ntakuwa nishawai kulog in kwayo.

Nauliza kama njia hiyo ni applicable nafanyeje??
Na kama hii haiwezekani naeza tumia njia gani nyengne kuzipata.

Msaada plzzzz
shida yako ni namna ya kuipata cmu au kupata imei?.. kama ni kupata cmu bac nenda polic ukiwa na risiti ambayo itaonyesha imei number za hyo cmu yako then wanaweza kukusaidia kulocate it only kama aliyeiba hajajiongeza kubadili hizo imei.. BTW, ni aina gan ya cmu mzee?
 
2991

Cm yangu camera sijui hata imekuaje nikiclik camera inasema automatically camera has stopped. Kila nikibofya inasema Ivoivo. Wakati mwanzoni nilikua naitumia vizuri tu. Tatizo ninini

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom