Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

2991

Cm yangu camera sijui hata imekuaje nikiclik camera inasema automatically camera has stopped. Kila nikibofya inasema Ivoivo. Wakati mwanzoni nilikua naitumia vizuri tu. Tatizo ninini

Cc Smart911
fungua settings then tafuta apps manager na scroll to camera and click it, clear its data pamoja na cache then restart cmu... Lete mrejesho kwa ajili ya further development
 
Ok mkuu lemme do that then ntakuapdet
 
fungua settings then tafuta apps manager na scroll to camera and click it, clear its data pamoja na cache then restart cmu... Lete mrejesho kwa ajili ya further development
Mkuu sioni sehemu ya clear data Kuna hivi tu [emoji116]
d1f5c919388ce446d8146161299bb0b1.jpg
 
Mafundi habari naomba kusaidiw nna tecno C9 kila nikiwasha Wi-Fi na bluetooth zinajizima hapohapo na nmejaribu kureset lakn bado sjajua tatzo n nn
 
2991 son_of_masia

Settings then apps inaniletea options hizi mbili downloaded na running
46f82907e6ef441c40af4da18cfded81.jpg

Hizo za downloaded ndo naona Kuna options hio ya clear data or cache ila kwenye running hakuna hizo clear data na cache Kuna stop and report
Mfano downloaded
9f2dc9045101f5923dc9a62fd744b33b.jpg

8fee38960bfe1f42fcc4c80a89c1382a.jpg

Running

b114b177eb196581f2472d11f5475280.jpg

43e471ece4b55f8bb1e086bd60be8b0d.jpg
 
Hapo inabidi ufanye flashing tu,ikikataa na hapo basi issue itakuwa ni hardware
 
2991 son_of_masia

Settings then apps inaniletea options hizi mbili downloaded na running
46f82907e6ef441c40af4da18cfded81.jpg

Hizo za downloaded ndo naona Kuna options hio ya clear data or cache ila kwenye running hakuna hizo clear data na cache Kuna stop and report
Mfano downloaded
9f2dc9045101f5923dc9a62fd744b33b.jpg

8fee38960bfe1f42fcc4c80a89c1382a.jpg

Running

b114b177eb196581f2472d11f5475280.jpg

43e471ece4b55f8bb1e086bd60be8b0d.jpg
Inabidi uclear cache hapo,hzo option ikikataa huna jinsi lazima ufanye reset ya simu.km ukifanya na hvyo tatzo likaendelea inabidi ufanye flashing
 
Nina huawei p7 L10 ina tatizo hili.

Nikipigiwa simu wakati simu ipo kwenye lock inajireboot.

Nikiwa kwenye icon za menu nikiishika yeyote kwa sekunde mbili, simu inajireboot.

Nikipiga simu baadhi ya codes mfano 100, 112 simu inajireboot.

Nikaiflash kwa official rom ya huawei ya 4.4.2 na emui 2.3 ya North Africa, simu ikawaka kama dakika nne kisha ikajiweka kwenye fast boot.

Nikajaribu ya south africa, simu haikuiona hiyo firmware.

Nikajaribu 4.4.2 general version bado simu haikuiona firmware.

Kama kuna mtu anaweza kuniflashia aniambie kwa shilingi ngapi anaweza kunitatulia hili swala.

Pia kama una circuit yake naomba unitajie bei nione tunafanyaje.

Nipo Dar
 
0717458447... impossible is nothing
 
2991 son_of_masia

Settings then apps inaniletea options hizi mbili downloaded na running
46f82907e6ef441c40af4da18cfded81.jpg

Hizo za downloaded ndo naona Kuna options hio ya clear data or cache ila kwenye running hakuna hizo clear data na cache Kuna stop and report
Mfano downloaded
9f2dc9045101f5923dc9a62fd744b33b.jpg

8fee38960bfe1f42fcc4c80a89c1382a.jpg

Running

b114b177eb196581f2472d11f5475280.jpg

43e471ece4b55f8bb1e086bd60be8b0d.jpg
nenda kwenye storage... delete cached data, kama ikigoma pia bac jaribu kudownload third party camera app then uone kama itafanya kazi ama vipi...
 
Saada jamani
Natumia galaxy note5 sm-n920p verizon, mwanzo ilikuja na android 6.0.1 mashirom baadaye nika update kuwa androin 7.0 nougant
Shida ni kwamba baada ya kufanya hyo majina yaliyo kwenye laini hayaonekani pia kwenye kusachi network hapafany kazi japokuwa huduma zote kama call,internet na n.k nazipata
Shida ni majina tu
 
Simu yangu ya Samsung imegoma kuistall whatsaap instagram na play store.. Nifanyeje.. Tatizo limetokea ghafla tu..
 
maelezo hayajitoshelezi... imegomaje?, uki instal nini kinatokea?, inaleta error gani?
 
Saada jamani
Natumia galaxy note5 sm-n920p verizon, mwanzo ilikuja na android 6.0.1 mashirom baadaye nika update kuwa androin 7.0 nougant
Shida ni kwamba baada ya kufanya hyo majina yaliyo kwenye laini hayaonekani pia kwenye kusachi network hapafany kazi japokuwa huduma zote kama call,internet na n.k nazipata
Shida ni majina tu
hyo nougat ni oficcial au custom?
 
nenda kwenye storage... delete cached data, kama ikigoma pia bac jaribu kudownload third party camera app then uone kama itafanya kazi ama vipi...

2991
Settings then storage kwenye cached data inaniletea hivi napata wasiwasi inaponiambia all the apps how come ifute za app zote sasa na cached data ndo vinini kwani??
204c8674694b1a16a7ba737c83be86f1.jpg

d4e64dda30a6fdd78527b291dd08d272.jpg

Nilidownload app ya camera nayo Kila nikitaka kuitumia ilileta hivi ndo mimi sielevi ni vinini hivo na navipata wapi kwenye cm au ndo cm camera ishakufa jamani
b4e61b5a3cc5b7f27604287ebb82118d.jpg
 
2991
Na hii nayo nimedownload open camera naona inaniuliza mimi swali tena
7b13ee497e88c68915c1986ed0fbc9f7.jpg

Hii 1 ndo camera ya cm 2 na 3 downloaded cameras ambapo hio 1 ndo inasema unfortunately camera has stopped, 2 ndo mambo ya kuopen devise access or reboot your phone na 3 ndo inaniswalika
e8a07f678c48f025fef5f7537d9669cb.jpg

36ee8ff66bf1ff30e5cc5ed0b4655c63.jpg

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom