Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Unafanywa vp uhakiki mkuu.
Zipo njia nyingi ipo ile ya tcra, ipo ya kutumia uzoefu wa uonekano wa simu na pia chek specifications za simu then ugoogle na kulinganisha au ikiwa ni fundi utaweza kuona through pc
 
Niliuza swali simple tu. Mafundi weng hawapend watu wajue. Ila namshukuru Mungu nilisolve.
Shukuran kwa Chief Mkawa
Poa kama ulifanikiwa ila labda swali lako lilichelewa kujibiwa kwa vile wadau hawakuingia humu kuliona
 
Jamani samahani kasimu kangu kahuawei nikitumia opera min browser na kufungua Google kanafunga apps hiyo
 
Ila nilitaka kusema hivi kama hujaridhika na hyo hali ungeomba msaada kama inawezekana ukasaidiwa au kupewa ushauri maana naona hapo umesemea tu. Hatujui kama unaiuza ama vip
 
ila huku wanakuja watu wazuri na mapasua.mtu anaba msaada kwa group aujui ata kuisoma chipset huu ni uduwanzi
Siyo mapasua kichwa ila ni wanafunzi ktk sekta ya software na hardware.
Hata ww ulikuwa haujui ila kwa sbb uliongezz juhudi ndiyo maana upo vizuri.
Watu tunatofautiana, mwingine anataka kuuliza kila kitu na mwingine anatafuta mwenyewe. Muwasaidie ili wawe km ww.
 
Samahan bwana impact naweza kukuuliza swali
 
Siyo mapasua kichwa ila ni wanafunzi ktk sekta ya software na hardware.
Hata ww ulikuwa haujui ila kwa sbb uliongezz juhudi ndiyo maana upo vizuri.
Watu tunatofautiana, mwingine anataka kuuliza kila kitu na mwingine anatafuta mwenyewe. Muwasaidie ili wawe km ww.
Anyway yaweza ikawa wewe sio fundi lakini usichukulie kuwa kila mtu mwenye tatizo la simu anataka kujua ufundi simu. Na angalia vizur uzi unavyosema
 
Wataalamu wenzangu nina galaxy s6 haisomi line inaandika invalid sim, nimejaribu ku downgrade ila bado haisomi....ni zile simu za kampuni kama sprint zinazotumika marekani....na nmejaribu kuweka file la international ila bado imezingua....je nifanyeje ili isome mtandao?
Ahsanteni
 
Uliza ndugu
Nimeadika hapo juu kidogo .nilitaka nijue kama una ofisi na ni gani. Na kama ni hvyo ndio nilitaka nikuulize maana ya kuwa na office n nn kama hadi mteja anaweza kuja na kuanza kuingilia majukumu yako kisa tu kapata ABC za kutatua tatizo lake ? Kama mtu anataka kuwa fundi sio lazima aanze na kutatua matatizo ya simu yake, afanye maandalizi angalau hata kidogo
 
Karibuni kwa ulimwengu wetu wa hacker forums
 
Wataalamu wenzangu nina galaxy s6 haisomi line inaandika invalid sim, nimejaribu ku downgrade ila bado haisomi....ni zile simu za kampuni kama sprint zinazotumika marekani....na nmejaribu kuweka file la international ila bado imezingua....je nifanyeje ili isome mtandao?
Ahsanteni
umejaribu kuunlock?
 
Back
Top Bottom