Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

2991
Na hii nayo nimedownload open camera naona inaniuliza mimi swali tena
7b13ee497e88c68915c1986ed0fbc9f7.jpg

Hii 1 ndo camera ya cm 2 na 3 downloaded cameras ambapo hio 1 ndo inasema unfortunately camera has stopped, 2 ndo mambo ya kuopen devise access or reboot your phone na 3 ndo inaniswalika
e8a07f678c48f025fef5f7537d9669cb.jpg

36ee8ff66bf1ff30e5cc5ed0b4655c63.jpg

Cc Smart911
Hiyo back ground picture nani kakutuma uiweke wazi hivyo...
 
Jamani msaada simu yangu ndogo tecno nimesahau password upande wa sms, hivyo sms zinaingia ila nashindwa kusoma
 
Jamani msaada simu yangu ndogo tecno nimesahau password upande wa sms, hivyo sms zinaingia ila nashindwa kusoma
Unapoomba msaada weka maelezo ya kujitosheleza,aina ya simu na model yake na tatzo.hyo cku yako inabidi ifanyiwe password read.mpekee fundi aliye karibu ja ww au km hutojali unaweza kunicheki nikakusaidia
 
2991
Na hii nayo nimedownload open camera naona inaniuliza mimi swali tena
7b13ee497e88c68915c1986ed0fbc9f7.jpg

Hii 1 ndo camera ya cm 2 na 3 downloaded cameras ambapo hio 1 ndo inasema unfortunately camera has stopped, 2 ndo mambo ya kuopen devise access or reboot your phone na 3 ndo inaniswalika
e8a07f678c48f025fef5f7537d9669cb.jpg

36ee8ff66bf1ff30e5cc5ed0b4655c63.jpg

Cc Smart911
fanya data wipe/fctory reset na ikigoma hapo bac inabid ufanye reinstalation of operating system
 
hii video ni kwa ajili ya stocrom sasa stockrom ya simu yako g9520 haina playstore inabidi upate coverted rom to g925f au upate custom rom kuna rom nimeiona nitaidownload ili nijue utaiingiza kwa twrp au odin.... tuko pamoja

Ustadhi asante sana, in shaa allah, nikutakie utafutaji mwema.
 
Jamani mwenye kioo cha iPhone 5s, tafadhali tujulishane..simu yangu imekufa kioo baada ya ajali!
 
Nahitaji port ya XOS 3.0 kwa Infinix hot 5 x559c, naombeni link kama ipo
 
Wakuu screen na touch ya samsung j3 naweza pata kwa bei gani?
 
Habari Wakuu.

Simu yangu Huawei g610-u00 ilianza kujizima ghafla na kupoteza taarifa. Yaani inajizima ikiwaka vitu vyote ulivypsafe siku husika vinapotea vinabaki vile vya kuanzia tarehe 8 Dec kushuka chini. Sasa nikaamua niiflash cha ajabu hakuna changes zozote zile yaani inakuwa vile vile kabla haijaflashiwa wakati the whole flashing process ilikuwa safi tu pasipo kuleta error yoyote. Nimejaribu njia zote kwa sp flash tool pamoja na SD card method. Kama kuna mdau amewahi kukutana na ili tatizo tushirikishane tunasolve vipi?!
 
Hyo ndio ishakufa memory tena haiflashiki mkuu labda upate saket ingine
 
Inategemea tu location lakin unaweza kubahatisha, kwa dar uwezekano n mkubwa kidogo
Nashukuru mkuu. Niko Songea kwa sasa nitajaribu kupost kwa wale jamaa wa Hardware nikipata fundi nitamtumia ndugu aipeleke. Shukrani.
 
Back
Top Bottom