Kikinga
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,098
- 2,002
Hapo tatizo laweza kuwa hiyo USB ni mbovu jaribu kubadili nyingineInaleta ujumbe usb device not recognized na kwenye device manager inasomeka kama "Unknown Device
Hapo tatizo laweza kuwa hiyo USB ni mbovu jaribu kubadili nyingineInaleta ujumbe usb device not recognized na kwenye device manager inasomeka kama "Unknown Device
pia yaweza kuwa upande wa simu inapoingia usbHapo tatizo laweza kuwa hiyo USB ni mbovu jaribu kubadili nyingine
Mkuu ni Samsung S6 Edge, Android version6.0.1Android sec patch levelsimu yako ni model gani na inatumia android version ipi
Mkuu Simu yangu ni Samsung Galaxy S6 Edge, Android Version 6.0.1, nimejaribu ku attach screen shot.simu yako ni model gani na inatumia android version ipi
Mkuu ni Samsung S6 Edge, Android version6.0.1Android sec patch level
Mkuu Simu yangu ni Samsung Galaxy S6 Edge, Android Version 6.0.1, nimejaribu ku attach screen shot.
ok nikumbushe kesho nikitafutie gapps na twrp recovery kisha nitakupa maelezo mengine inshaallahMkuu ni Samsung S6 Edge, Android version6.0.1Android sec patch level
Mkuu Simu yangu ni Samsung Galaxy S6 Edge, Android Version 6.0.1, nimejaribu ku attach screen shot.
Pitia kila page sikumbuki page gani ila utaona link, click hapo moja kwa moja utajikuta umeshazama whatsappNaomba kuunganishwa katika group. la whatsapp kama lipo 0744376490
Asante kaka, Nikutakie mhangaiko mwema ili niweze kufanikiwa , mana hawa jamaa wanabana kweli huku kwao.ok nikumbushe kesho nikitafutie gapps na twrp recovery kisha nitakupa maelezo mengine inshaallah
Mkuu naomba unikumbuke na mm pind utakaposaidiwaAsante kaka, Nikutakie mhangaiko mwema ili niweze kufanikiwa , mana hawa jamaa wanabana kweli huku kwao.
wewe shida yako nnMkuu naomba unikumbuke na mm pind utakaposaidiwa
Ahsante mkuu nimeipata nimeshajiungaPitia kila page sikumbuki page gani ila utaona link, click hapo moja kwa moja utajikuta umeshazama whatsapp
UsijaliAhsante mkuu nimeipata nimeshajiunga
katika software vp lipo group la hardware
Unafanywa vp uhakiki mkuu.Fanya uhakiki kama ni org
safisha usb port.na unatakiwa kua na zaidi ya usb zaidi 1Inaleta ujumbe usb device not recognized na kwenye device manager inasomeka kama "Unknown Device
ila huku wanakuja watu wazuri na mapasua.mtu anaba msaada kwa group aujui ata kuisoma chipset huu ni uduwanziPitia kila page sikumbuki page gani ila utaona link, click hapo moja kwa moja utajikuta umeshazama whatsapp
USB zote zimedunda japo Kwa simu zingine zinapiga mzigo kama kawaHapo tatizo laweza kuwa hiyo USB ni mbovu jaribu kubadili nyingine
Hapana mkuu tatizo limekuja baada ya mgonjwa kutema dawa!!!pia yaweza kuwa upande wa simu inapoingia usb
Nimejaribu kwenye Pc zaidi ya 3 zote hivyo hivyosafisha usb port.na unatakiwa kua na zaidi ya usb zaidi 1
Ila inategemea na ulichouliza, ulivyouliza na aina ya tatizo na solution yakeHawa jamaa km una swali bora ukae kimya tu. Mm kuna swali niliuliza humu, nilijibiwa kisiasa sana. Bora ugoogle ukishindwa nenda Youtube au muulize chief mkwawa.
Kwenye huu uzi, mafundi hawataki hujue wao wanataka uwe mjinga kila siku ili waendelee kupiga pesa