Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,315
- 8,754
Una unlock vipi kakaumejaribu kuunlock?
Una unlock vipi kakaumejaribu kuunlock?
Hyo wengi hatujawahi kukutana nayo lakini tafuta how to remove region sim lock on samsung naamin kama wew ni mtaalamu kidogo utaweza kupata kituUna unlock vipi kaka
Hebu yasome haya kama yatakufaaUna unlock vipi kaka
Kwan wewe upo maeneo gani na network ni ya mtandao gani na ikikata network inarudi tena au?Habar yako,ninaomba msaada simu yangu ni j5 samsung ina wiki sasa inakata network sijui tatizo nini nibonyeze sehem gan ili iwe sawa
Isije kuwa imekufa baseband.Habar yako,ninaomba msaada simu yangu ni j5 samsung ina wiki sasa inakata network sijui tatizo nini nibonyeze sehem gan ili iwe sawa
Inaweza kuwa hivyo au invalid imei sema ingebidi ajibu haya maswali kwanzaIsije kuwa imekufa baseband.
hapo lazima uwe na box kama z3x au octoplus, chimera nk.. mimi nishawahi kukutana nazoUna unlock vipi kaka
Samsung tool ninao je inahitaji pia box hardware ya unlockinghapo lazima uwe na box kama z3x au octoplus, chimera nk.. mimi nishawahi kukutana nazo
Hapo kama unayo hyo jaribu kufanya hiyo operation na pia hyo octoplus aliyotaja jamaa hapo juu crack iko poa. Zikigoma ndio inakupasa umtafute mwenye box kwan tatizo ya baadhi ya hizi tool waweza kufanya operation ikakuambia done na ukichek simu kitu iko palepaleSamsung tool ninao je inahitaji pia box hardware ya unlocking
Nmefanya na samsung tool ila mzee inafail mwishoniHapo kama unayo hyo jaribu kufanya hiyo operation na pia hyo octoplus aliyotaja jamaa hapo juu crack iko poa. Zikigoma ndio inakupasa umtafute mwenye box kwan tatizo ya baadhi ya hizi tool waweza kufanya operation ikakuambia done na ukichek simu kitu iko palepale
Na inavyofail inaonyesha error ganNmefanya na samsung tool ila mzee inafail mwishoni
Pia jaribu kwa tool nyingineNmefanya na samsung tool ila mzee inafail mwishoni
Naomba upload hio octopus bossPia jaribu kwa tool nyingine
Ngoja nione if possibleNaomba upload hio octopus boss
Saidia mwana aseNgoja nione if possible
Natumia voda na nipo sehem ambayo net ipo muda wote ila cm yangu inazingua tuu ikikata inarudKwan wewe upo maeneo gani na network ni ya mtandao gani na ikikata network inarudi tena au?
Imei umechek ziko poa na network mode umeset kwenye mode ganNatumia voda na nipo sehem ambayo net ipo muda wote ila cm yangu inazingua tuu ikikata inarud