2991
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 619
- 628
- Thread starter
- #801
NMEKUSOMA MZEENayajua yote Siyo km mnabishia ila point yangu ilikuwa ''kitu kilichotengezwa na binadamu kinabadilishika ni suala la muda tu'' Teknlojia inakua hivyo kitu ambacho hakiwezekani sasa muda ukifika kitawezekana tu. Imei ya iphone haiwezekani kubadilishika lkn muda ukifika huenda ikabadilishwa.
Jaribu kuelewa kilichoandikwa. Siyo vyote vinawezekana ila baadhi.