Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

acha uongo kama iliibiwa polisi wanatrack imei... kwa hiyo kama imeripotiwa itapatikana tu ukizingatia huwezi badilisha imei ya simu... pia kauli zako zinafanya polisi waamini kuwa mafundi tunasupport wizi hii haitupi taswira nzuri kwa serikali
Imei inabadilishwa
 
nlikua nacharge simu. Plug ikapiga short kwenye USB. Mpaka sasa simu haiwaki wala haioneshi chochote. Nafanyaje
 
box ni hardware ambayo inafanya kazi pa1 na software, kwa mfano box yetu ni BST DONGLE kwahyo kale ka dongle ndo hardware while ile installation setup ndo software.. zenyewe huwa zina muunganiko wa codes ambapo mtumiaji kazi yako ni kuchagua operation unayoitaka then those codes zilishakuwa prepared and they will operate as u have chosen... kwa maelezo rahisi ni vifaa ambavyo tunavitumia kufanyia flashing, unlocking and repair n kingine ni kwamba kuna operations ambazo tunaweza kuzifanya pasina kutumia hizo boxes ila zile most advanced zinazohusisha advanced security bac zitahitaji box na si tu box bt box ambayo iko advanced.. baadhi ya simu zenye advanced security ni kama samsung hasa latest models with their securities like REACTIVATION LOCK na hata kwenye kufanya repair hasa hasa reading and writing of certs na hata qcn.. huduma nyingi za hizi simu za kichina huwa zinafanyika na hizo box bt nyingi kama cyo zote huhitaji box.. kuna DEVELOPERS ambao hufanya baadhi ya hizi software za box zitumike bila ya kuwa na hardware yake na kwa lugha rahisi tunaziita CRACKS yaani box software ambayo iko cracked.. kwa mfano Z3X box unaweza ukatumia software yake bila kuwa na hardware yake lakini ikumbukwe box yoyote ambayo iko cracked itafanya baadhi ya kazi na si zote na kwa mfano wa hyo box tajwa hapo juu yaani Z3X operations nyingi za repair and unlock hazitofanya kazi na utakapotumia hizo cracks unakuwa huna uwezo wa kufanya update hadi usubiri developers wafanye cracking ya version tofauti.. watengenezaji wa hizo box huwa wanajua pia kama kuna watu wanaofanya cracking ya software zao hvyo kila wanavyofanya update huwa wana improve securities na ndo maana box nyingi za kisasa zinatumia SMARTCARD tofauti na box za zamani kama VOLCANO,GPG na nyingine... hope ntakiwa nimejibu hata kwa 10% bt sory for very long and boring answer
Nina LG imenishinda ku unlock naomba msaada
 
Haiwaki wala haioneshi kitu chochote Mkuu
Kama imekuwa hvyo hadi niifungue ndani niicheki circuit km imepata damge yyte.kwa kukusaidia tu hilo tatzo hadi ufike ifisin ndo utapata msaada.napatikana ubungo mabibo hostel
 
KWA UHITAJI WA ROM YOYOTE, DRIVERS, FLASH TOOLS HASA CRACKS na TUTORIALS JUST ASK AND TUTASAIDIANA WERE POSSIBLE NA MSAADA HAPA NI TOTALLY FREE
Samahan
Samsung s3 yangu ni jellybin.. hakuna rom yoyote ya samsung inayoweza piga kaz humu kuanzia lollipop na rahis kuipiga?
 
hili tatizo lina solution wakuu???
hii ni huawei Y550 L01.
inasema, "internal storage damaged and is now unavailable......" check attachment
msaada tafadhali
fd17869c3c951027d3468e814e9bbc72.jpg
05834e70a89d9f8f571b7003ac04f927.jpg
a179192b624202ecc18bed21fd688988.jpg
 
hili tatizo lina solution wakuu???
hii ni huawei Y550 L01.
inasema, "internal storage damaged and is now unavailable......" check attachment
msaada tafadhali
fd17869c3c951027d3468e814e9bbc72.jpg
05834e70a89d9f8f571b7003ac04f927.jpg
a179192b624202ecc18bed21fd688988.jpg
pole kwa tatzo hlo kwani najua hapo hata ukireset mambo yanabaki vile vile yalivyokuwa. na kama ndio hivyo hapo kununua circuit nyingine inahusika
 
Aliyekwambia imei ya iphone inabadilika nani?? na pia tujifunze kutii sheria bila shuruti kubadili imei ni kosa kisheria na kufanya hivyo ni kusupport wezi
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua hasa kilichotengezwa na binadamu.
Kubadili imei siyo unasupport wezi, wezi walikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia.
 
pole kwa tatzo hlo kwani najua hapo hata ukireset mambo yanabaki vile vile yalivyokuwa. na kama ndio hivyo hapo kununua circuit nyingine inahusika
duh!! shukrani mkuu sema naweza kwenda kwenye setting nikawasha hotspot so nowdays naitumia tu kama router or modem.
 
Back
Top Bottom