Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Nina HUAWEI ALE-L21 ilidondoka kwenye maji nikaiwahi ila na ikazimika, mpaka sasa sijawahi pata suluhu, msaada mwenye kuweza kuitengeneza
 
Hapo anayeweza kuitengeneza ni fundi hardware utakayeweza kumfikia kwa urahisi hivyo ni bora ungeweka location
 
Mimi mpaka Sasa sijapata matumaini ya kujibiwa humu.
Hawa jamaa km una swali bora ukae kimya tu. Mm kuna swali niliuliza humu, nilijibiwa kisiasa sana. Bora ugoogle ukishindwa nenda Youtube au muulize chief mkwawa.
Kwenye huu uzi, mafundi hawataki hujue wao wanataka uwe mjinga kila siku ili waendelee kupiga pesa
 
Kwa swali gani ndugu?
HILO HAPO
Wakuu nilikuwa na flash twrp kwenye SM-A700F kwa kutumia Odin ikafail.
Inaniletea ujumbe"Firmware upgrade encountered an issue. Please select recovery mode in Kie & try again"
Simu haizimi wala kuingia recovery mode, Download mode inaingia ila ukiconnect kwenye computer haidetect,
Ila ukibonyeza Home+Volume down+power kabla ya kubonyeza volume up inaleta ujumbe "USB device not recognized" na ukibonyeza Volume up kukubali kuingia download mode Pc haionyeshi chochote.
Haisomi kwenye Odin wala Kies.
Je nifanyeje iweze kidetect kwenye Pc kama mwanzo ili niiflash kwa Stock ROM?
Maana nimejaribu kwa pc zaidi ya moja na USB driver tofauti Za Samsung but hakuna badiliko.
2991 , drphone, CalvinPower , Johnson Fundi na magwiji wengine msaada wenu unahitajika.
 
Mafundi habari naomba kujua hili faili(file) linaloitwa Misc.linafutwaje au kuna namna yoyote ya kulifanya lisile saana Mb? Msaada please
 
Wakuu naomba msaada wenu...simu yangu inajiwasha na kujizima na nimejaribu kufanya factory reset bado naona tatizo linaendeleaa...natanguliza shukran zangu
 
Wakuu habari za majukumu, mimi nimenunua simu ya Samsung s6 edge nchini China na simu hii haikuja na Google Play, na mabo mengi mfano contacts, useful apps zinapatikana Google Play. Nimejitahidi kudownload na kuinstall Google Play, Play Service na kuangalia ushauri kwenye Youtube, lkn bado sijafanikiwa.

Tatizo linakuja hivi, nikiinstall hivyo vyote, nikija kwenye ku sign in, ina pp up msg ya Google Paly Service has stoped working, nikaenda ku clear catches and data kwenye Google Paly a Paly service lakini sijafanikiwa. Nikiitoa Google play service na kuweka nyingine, nikianzaa kusignin, wakati ina sign in, inasema this will take a few minutes, lkn punde inakuja pop up msg nyingine inayosema- Unfortunately, the process com.google .process.gapps has stoped.

Kuna siku nikafika ushauri mmoja wa kusema HOW TO ROOT YOUR ANDROID PHONE, nikaenda mbele nikakuta cautio kuwa sometimes, usipofanikiwa inaweza kuwa namadhara, nikaachana nayo.

Sasa naombeni ushauri ni nini kinaifanya simu hii kutokukubali kusign in? na nifanye nini msg your google play service has stoped na pia hii ya pili inayaokuja baada tu kuinstall Google play store mpya inayosema Unfortunately, the process com.google .process.gapps has stoped?

ntashukuru kwa ushauri wenu
 
kwanza download google installer apk kisha kupitia hiyo utapata playstore kisha utadownload zingine

ikigoma tafuta gapps zinazofanana na simu yako kisha flash twrp revovery na install gapps
 
Ok Mkuu. ila nilishawahi kudownload google installer, ikawa inadownload zote, ila ikawa ngumu kudownload Google play Services, ndio nikadownload toka source nyingine, still ikashindikana. Kuna jamaa hapa version sio ya China, aka share zote Google play storre, Play service na Google installer, still haikukubali.

Hiyo stage ya Flash twrp recovery labda unipe mwanga kidogo, lama ntaiweza, nijaribu kaka. Pamoja sana mkuu.
 
simu yako ni model gani na inatumia android version ipi
 
Back
Top Bottom