kagombe
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 3,624
- 1,827
Yawezekana battery iko disconect.Nina iphone 5 ilianguka sasa hivi ukiweka charge inaonyesha ile alama ya apple tu je tatizo hapo ni software au hardware?
Yawezekana battery iko disconect.Nina iphone 5 ilianguka sasa hivi ukiweka charge inaonyesha ile alama ya apple tu je tatizo hapo ni software au hardware?
Inawezekana.kama uko dar 0754604567 nione nikutatulie tatizo lako ndani dk45Wakuu nina simu tecno n2 tatizo lake nikiichaji haaijai inapungua hadi inazima hadi nichaji kwa kutumia kobe,msaada tafadhali
Ukiwasha au ukichomeka usb ndio inakua hivyoTatizo hili ni software au hardware?
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua hasa kilichotengezwa na binadamu.
Kubadili imei siyo unasupport wezi, wezi walikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia.
hili tatizo lina solution wakuu???
hii ni huawei Y550 L01.
inasema, "internal storage damaged and is now unavailable......" check attachment
msaada tafadhali
![]()
![]()
![]()
Samahan
Samsung s3 yangu ni jellybin.. hakuna rom yoyote ya samsung inayoweza piga kaz humu kuanzia lollipop na rahis kuipiga?
2991 naomba msaada namna ya kureset vodafone hasa lolipop na mashemalow zinapozungusha,yaani ukifanya hard reset haziboot fully tena. UNAFANYAJE hapo?, pia kua unlock network. WABEJA SANA
Msaada Wa Ku Root Lenovo K4 Note Vibe Nilinunua Ikiwa na Version Ya Lollipop 5.0 Ila Nika Update ad Marshmallow 6.0 now...Sasa nataka Ni Root Nipandishe Ad 7.0 Nougat
Nina iphone 5 ilianguka sasa hivi ukiweka charge inaonyesha ile alama ya apple tu je tatizo hapo ni software au hardware?
Mkuu unaweza kuniambia nini nifanye simu yangu ya nokia xl ukiiwasha ina ganda kwenye logo ya nokia tu
labda mkuu hapo kunauwezekano wa kuiflash hii simu?
wakuu na wajuzi napenda kuungana nanyi tena katika jukwaa hili naomba msaada na mtaalam wa ku unlock N8
nisaidi link ya ku download software ya kuflashhakuna crack inayoweza unlock hyo kitu na solution ni kutumia box/dongle au kiflash kwa unlocked formware ambapo utatumia sp flash tool
Nayajua yote Siyo km mnabishia ila point yangu ilikuwa ''kitu kilichotengezwa na binadamu kinabadilishika ni suala la muda tu'' Teknlojia inakua hivyo kitu ambacho hakiwezekani sasa muda ukifika kitawezekana tu. Imei ya iphone haiwezekani kubadilishika lkn muda ukifika huenda ikabadilishwa.hakuna tool yoyote inayobadili imei ya iphone brother na solution ya kuchange imei kwenye iphone ni kubadili NAND IC na ni kazi ya hardware, na baada ya kuchange NAND IC unatakiwa kufanya soldering vema na reball pia... usipotoshe uma mzee, na hakuna icloud bypass baada ya ios11 na hata zile paid services kuna ambazo zinashindikana na it may take several days... unaweza bypass icloud kwa ios yoyote kwa hardware solution but itakulazimu uwe na same device ambayo haikuwa locked to icloud hata ambayo imezima lakini hata baada ya kubypass utakapofanya update thru itune hapo ndo mwisho wa ujanja... tunaelekezana na hatubishani bt tunaelekezana kwani yawezekana wewe ni mweledi kunishinda