Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Wakuu khabari gani.. samahanini kwa kuwa nje ya mada ..mimi nina shida na kioo cha samsung grand prime ..simu yangu imepasuka ilianguka na sikuweka protecta. Hivyo basi naombeni kujua kioo chake kinauzwa bei kwa sasa. Asanteni
pamoja na touch au display peke yake
 
wataalamu sorry tecno c8 yang haionyeshi network bars haipigi wala haitumi sms ila inasoma simcard msaada tafadhali
 
wataalamu sorry tecno c8 yang haionyeshi network bars haipigi wala haitumi sms ila inasoma simcard msaada tafadhali
Tatizo hilo limekuja baada ya simu kufanyaje? Aidha kuanguka au iliwahi kufunguliwa kwa shida zingine? Na je, umechek uhalisia wa IMEI?
 
Tatizo hilo limekuja baada ya simu kufanyaje? Aidha kuanguka au iliwahi kufunguliwa kwa shida zingine? Na je, umechek uhalisia wa IMEI?
mkuu ni kweli nimepeleka kwa fundi kubadilisha charging system ikarudi hivyo
 
Wakuu kuna tecno tab 8h, mara ya kwanza ilikuwa inasoma network kwa kuandika aina ya network, kama sehemu kuna 2G basi ilikuwa inaandika, au 3G ilikuwa inajiandika, lakin sasa haijiandiki.. yaani kujua kama upo eneo la 2G au 3G ni hadi uwashe data... shida nini hapa? Na inatatuliwaje?
 
naweza nkakuelekeza kama hutojali may be twaweza fanikiwa... 0717458447
Habari yako mkuu,, simu yangu inanikatalia ku-login Instagram na kuleta huu ujumbe kwenye picha.
ffa62c83632b3ca628f7935887c1a4f2.jpg
 
Wakuu nilikuwa na flash twrp kwenye SM-A700F kwa kutumia Odin ikafail.
Inaniletea ujumbe"Firmware upgrade encountered an issue. Please select recovery mode in Kie & try again"
Simu haizimi wala kuingia recovery mode, Download mode inaingia ila ukiconnect kwenye computer haidetect,
Ila ukibonyeza Home+Volume down+power kabla ya kubonyeza volume up inaleta ujumbe "USB device not recognized" na ukibonyeza Volume up kukubali kuingia download mode Pc haionyeshi chochote.
Haisomi kwenye Odin wala Kies.
Je nifanyeje iweze kidetect kwenye Pc kama mwanzo ili niiflash kwa Stock ROM?
Maana nimejaribu kwa pc zaidi ya moja na USB driver tofauti Za Samsung but hakuna badiliko.
2991 , drphone, CalvinPower , Johnson Fundi na magwiji wengine msaada wenu unahitajika.
 
Wakuu nilikuwa na flash twrp kwenye SM-A700F kwa kutumia Odin ikafail.
Inaniletea ujumbe"Firmware upgrade encountered an issue. Please select recovery mode in Kie & try again"
Simu haizimi wala kuingia recovery mode, Download mode inaingia ila ukiconnect kwenye computer haidetect au inaleta ujumbe "USB device not recognized"
Haisomi kwenye Odin wala Kies.
Je nifanyeje iweze kidetect kwenye Pc kama mwanzo ili niiflash kwa Stock ROM?
Maana nimejaribu kwa pc zaidi ya moja na USB driver tofauti Za Samsung but hakuna badiliko.
2991 , drphone na magwiji wengine msaada wenu unahitajika.
Hold vol down, home button na power. Ikirud kule ktk emergency mode angalia kama imedetect vzur kama usb moderm.
 
Nina Tecno spark mpya, lakini kila mara storage imejaa, nifanyeje mafundi?
 
Back
Top Bottom