Boss ungteneza group whastup nahs ingepndeza sana kama unalo ni addy 0767427770
Habar wadau
Nimeibiwa cm yangu ya SAMSUNG J7(2016)
IME ninazo kunauwezekano wa kuipata ?
Yeah nina uhakika 100% mkuu
Pole mkuuHabar wadau
Nimeibiwa cm yangu ya SAMSUNG J7(2016)
IME ninazo kunauwezekano wa kuipata ?
IMEI nikwaajili ya lock , so labda kama ungekuwa umeallow kuitrack na kufungua Samsung account ungeweza ipataHabar wadau
Nimeibiwa cm yangu ya SAMSUNG J7(2016)
IME ninazo kunauwezekano wa kuipata ?
Ni pm mkuuSimu yangu haitaki HUAWEI 360
Upo wapi.ni pm.tufanye kazawakuu na wajuzi napenda kuungana nanyi tena katika jukwaa hili naomba msaada na mtaalam wa ku unlock N8
Upo wapi.ni pm.tufanye kaza
mimi nipo njombe nipe namba yako nikutafuteUpo wapi.ni pm.tufanye kaza
Unapatikana maeneo Gan? Njoo ofisin maeneo ya ubungo mabibo hostel nikufanyie hyo kazi mkuuWakuu Nina simu apa ni techno C8 nimesahau pattern nilibadilisha Jana usiku kuamka ahsubuh kila nikiweka inagoma msaada jinsi ya kureboot
Uko tayari kupoteza kila kitu?? NikuelekezeWakuu Nina simu apa ni techno C8 nimesahau pattern nilibadilisha Jana usiku kuamka ahsubuh kila nikiweka inagoma msaada jinsi ya kureboot