Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Nina Nokia Lumia 3200 imepasua mafumdi vichwa, ilikata Network ghafla, pia ikaleta Airplane mode,na haitoki , baadae nikaizima,kuna kuwasha haitaki mpaka u hold volume down na power ndio inawaka,mafundi inawapelekesha mno(wa software alichemka anasema ni hardware), hardware nae anaumiza ndonga bila majibu
 
Wadau... Simu yangu ipo rooted sipati update zozote kutoka kwa kampuni husika walitengeneza hii simu... Swali je naweza kuiondoa root nikafanya simu yangu ikawa kama zamani nikaweza kupata update kutoka kwa kampuni husika?
aina gani ya simu
 
nafungua iphones zenye passcode lock na kutoa icloud nasisitiza natoa icloud sio kufungua,na sio iphones zote zinaweza funguliwa especially ambazo zinalatest versions za IOS but whatever lete simu yako niishughulikie bei maelewano<br /><br />nikiishamalizana na iphone yako inakuwa mpya bila ownership ya mtu yeyote yule mpaka utakapo sign in na apple id so its safe hautaweza patikana hata kama utaleta uliyoiba au uliyookota<br /><br />my number 0692747618
acha uongo kama iliibiwa polisi wanatrack imei... kwa hiyo kama imeripotiwa itapatikana tu ukizingatia huwezi badilisha imei ya simu... pia kauli zako zinafanya polisi waamini kuwa mafundi tunasupport wizi hii haitupi taswira nzuri kwa serikali
 
Nina Nokia Lumia 3200 imepasua mafumdi vichwa, ilikata Network ghafla, pia ikaleta Airplane mode,na haitoki , baadae nikaizima,kuna kuwasha haitaki mpaka u hold volume down na power ndio inawaka,mafundi inawapelekesha mno(wa software alichemka anasema ni hardware), hardware nae anaumiza ndonga bila majibu
mwambie abadilishe mkanda wa chini wenye charging system
 
Habarini wana JF, hope mko gud mnaendelea na harakati za weekend.
Mimi ni mdau wa mobile software na mara zote huwa napenda kushare contents na skills zangu na kujifunza vitu vipya kutoka kwa wenzangu pia.

Napenda hayo yatokee kwa wana tasnia wenzangu ili tuweze kusaidiana, tunaweza kushare roms, tools, repair and unlock contents like efs,qcn,nvm, certs n.k....na tukifika mbali zaidi ili tuweze kushare ujuzi na contents kwenye tasnia..ujuzi, contents na msaada wowote, karibuni tujuzane
Mkuu unaweza kuniambia nini nifanye simu yangu ya nokia xl ukiiwasha ina ganda kwenye logo ya nokia tu
labda mkuu hapo kunauwezekano wa kuiflash hii simu?
 
Nina iphone 5 ilianguka sasa hivi ukiweka charge inaonyesha ile alama ya apple tu je tatizo hapo ni software au hardware?
 
Wakuu nina simu tecno n2 tatizo lake nikiichaji haaijai inapungua hadi inazima hadi nichaji kwa kutumia kobe,msaada tafadhali
 
Tatizo hili ni software au hardware?
 

Attachments

  • 20171027_214204.jpg
    20171027_214204.jpg
    69.8 KB · Views: 70
  • 20171027_214204.jpg
    20171027_214204.jpg
    69.8 KB · Views: 64
2991 naomba msaada namna ya kureset vodafone hasa lolipop na mashemalow zinapozungusha,yaani ukifanya hard reset haziboot fully tena. UNAFANYAJE hapo?, pia kua unlock network. WABEJA SANA
 
SIO KWELI crack huzima simu na ikiwa hivyo haziwaki tena, umakini wako ndio huzima simu kwa njia yoyote ile iwe crack au box/dongle. na pia cm ikizima upo uwezekano mkubwa tu wa kuiwasha labda kama knowledge yako imeishia hapo
 
vfd 300 na 301 hapo njia n kuflash kwa suitable rom
 
Back
Top Bottom