mtanikumbuka
Member
- Jan 14, 2017
- 67
- 73
Msaada bei ya Samsung galaxy j5 (2016) pia kwanini inagoma kuintall google play store
Nitumie bc hyo link mdau0717458447
Pa1 xnnatuma ndugu, kiwa mwenye subira
unfortunately mimi cyo programmer na wala c developer, hopeful wenye hyo taaluma watakuja na huenda wakakusaidia pale itakapowezekanaVipi mnaweza tengeneza anti GPS ambayo ina uwezo wa kudanganya mahali ulipo? Au mkatengeneza software ya kuuza mb za internet tu?
Pro halafu anatumia cracks? mmmmmh huyo sio Pro. Anyway sina cha kueleza sana ila wapo walio nielewa na wapo walio kuelewa, Na walionielewa mimi utaona wamekaa kimya.Usisahau kuwa Ma pro katika hyo kaz wanatumia cracks na ndo zinapga kaz frsh
Hii sio Battle mzee. Tambua hilo tunaeleweshana tu. Na usidhani kuwa na advanced options basi ndo umempta mwenye crack software.Pro halafu anatumia cracks? mmmmmh huyo sio Pro. Anyway sina cha kueleza sana ila wapo walio nielewa na wapo walio kuelewa, Na walionielewa mimi utaona wamekaa kimya.
Software dev ya nini? Unatengeneza software za simu? kwenye CPU zipi? Qualcomm, Spreadtrum, MediaTek, Funguka basi ili tuweze saidiana maana mimi nipo hukohuko mkuu, Niliacha mambo ya software programming 2013 baada ya kuelemewa, na laptop yangu kuibiwa ikiwa na arch ya ARM processor.Nipo mwaka wa sita in software development lkn hivo sijawahi kuskia mzee
NotedHii sio Battle mzee. Tambua hilo tunaeleweshana tu. Na usidhani kuwa na advanced options basi ndo umempta mwenye crack software.
Nitakutafuta kupitia namba uliyoweka humu tufanye biashara ya box nafanya kwanza research box lipi litanifaa.unahitaji NCK au AVENGER
+255763082645Mimi naona kama utaweza unda group la whatsapp litatusaidia sana
Weka link bob ili iwe simple kujoinNAENDA CREATE WHATSAPP GROUP, WATAKAOKUWA INTERESTED PLEASE NITUMIE WHATSAPP MESSAGE YENYE NENO "ADD" KWA NAMBA 0717458447