Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

na hata TCRA watakukamata utakapofanya imei change.. imei repair to original factory imei cyo kosa.. wanachokataa ni pale ambapo cmu husika ni kwamfano tecno boom j7 then imei zake zisome samsung e1205 asee hapo wakikushika umekwisha
Nipo mwaka wa sita in software development lkn hivo sijawahi kuskia mzee
 
KWA UHITAJI WA FLASH BOX YOYOTE ILE KUANZIA GPG, VOLCANO, CHINA KING, UFS, INFINITY, Z3X PRO AND NON PRO, AVENGER, NCK, BST, OCTOPUS NA NYINGINE NYINGI PLS USISITE KUNITAFUTA.. UNAWEZA UKAIPATA KWANGU IKIWA NI SECOND HAND AU HATA UKITAKA MPYA NA SI LAZIMA UIPATE KWANGU NAWEZA PIA NIKAKUPA EASY ACCESS YA KUIPATA
 
Km nitapata hata infinity linatosha
infinity dongle inapatikana kwa 150, bt utakaponunua hii functions za cmu nyingi zinahitaji activation na ambazo utazikuta for free ni BEST NOKIA, CHINESE MIRACLE 2 MTK TRIAL, MIRACLE 2 SPD TRIAL, MIRACLE 2 RDA NA QCOM na zote ni trial na zina limited features
 
Kwahiyo mkuu unanishauri ninunue ipi ndo nzur zaid
 
una box nyingine au ndo unaanza kununua?, kama unayo ni ipi au zipi?, cmu gani zipo kwenye mzunguko hapo ulipo yaani unazokutana nazo kwa sana?, unataka box inayofanya kazi zipi hasa?, au unataka box inayofanya kazi na cmu zipi?..
 
Ndo naanza kununua mdau
 
Huku cm nying ni tecno ndogo, itel ndogo, tecno android, huawei xo xn, kuna itel android, sumsum kidogo
 
Mkuu cjawahi tumia hayo, we unaona ni lipi zur hapo unipe direction jinsi ya kupata
zotr mbili zinafanana na zote ni products za NCK TEAM, tofauti hapo ni kwamba NCK ina malipo kila ufikapo mwaka while avenger ni totally free...NCK inapatikana kwa urahisi ukienda tu shop unaipata bt avenger kidogo itakuchukua some days kuipata mpya.. kwa kukushauri tu fany uchukue AVENGER, bt mwenyewe fanya hata utafiti, tembelea sites za box zote hizo mbili uangalie na uliza pia mafundi unaowafahamu ili ufanye kitu ukiwa umeridhika
 
Ko hyo avenger ni bei gn mkuu, au unayo uniuzie
 
NCK mara ya mwisho niliikuta 370 ikiwa iko activated kwa matumizi ya mwaka mzima, bt lile duka langu nguri la uuzaji wa hvi vitu hawakuwa na AVENGER n hata kama utaipata bei yake lazima ichangamke coz ni totally free.. mim nilimuagiza jamaa na ukitaka nikuuzie tunafanya biashara
 
Uliyoagiza utaniachia kwa ngap vle
 
Back
Top Bottom