Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Niko magomen Dar
kama utaamua kuja haina tatizo bt nahisi kama itakugharimu muda na pesa pia coz hapo kwenda k koo ni 400 na kule watakufanyia hata kwa elf10.. bt chaguo ni lako, nakukaribisha ndugu yangu
 
avenger lazima itazidi bei coz yenyewe unatumia for free had pale wenyewe watakapoanza activations, bt kwa pale k koo ninakofanyaga manunuzi ya hizi vitu hawana avenger ila unaweza pata hata kwa mafundi au hata wale wauzaji unawapa order nahisi watakuletea
asante mkuu
 
kama utaamua kuja haina tatizo bt nahisi kama itakugharimu muda na pesa pia coz hapo kwenda k koo ni 400 na kule watakufanyia hata kwa elf10.. bt chaguo ni lako, nakukaribisha ndugu yangu
Ok asante kwa ushaur mzur
 
then ninazo zote mbili yaani NCK na mwenzie AVENGER so kama uko serious unahitaji tunafanya mazungumzo coz mim nina easy access ya kuzipata
mkuu tutaongea vizur mkuu
 
Nina Huawei Y336-U03 kika uki boot inaenda moja kwa moja kwenye recovery, ukiflash kwa kutumia memory card inagoma,
 
Mkuu hizi tecno N8 zenye costumized firmware ya ule mtandao pendwa wa express u're self network lock yake tunaitoa vp nmetoka kujarbu hapa kwa crack ya nck box lakini imedunda!
Hapo download file kutoka needrom site
 
Nafikiri hapa tunashindwa kuelewana kitu kimoja, Tanzania kwa Tanzania halafu tuwe tunashare certs? ingekuwa ni kwa kushare za nje ya nchi sawa, maana hapa ninasimu yangu yenye certs XXXXXXXX ni kupe wewe ambae upo hapa hapa TZ, kwesho na keshokutwa nimepotes simu yangu na nikaripoti police, wakianza kutrack IMEI namba si watakushika wewe? mimi nakataa kabisa suala la kushare IMEI zinazotumika hapa nchini, wewe hapa ni mwalimu halafu unafundisha nini kuhusu sharing of IMEI? TCRA wanapiga marufuku change of IMEI na hili lla cert nalo nipo kwenye same problem, kwasababu watu kama wewe wanawaambia watu wagawane certs, jaribu kuangalia IMEI inakuwa na simu kibao, moja ipo mwanza, nyingine ipo Moshi, nyingine dar, wewe huoni kwamba hapa pataleta shida?
Andaa material zako kaa uzipite vizuri halafu njoo fungua uzi fundisha vizuri, vile vile waelimishe watu kuhusu mabox na dongle na sio cracks and shits. Kuna watu wapo serious na wanaweza kujipanga achana na hao wanaopenda shotcuts
Usisahau kuwa Ma pro katika hyo kaz wanatumia cracks na ndo zinapga kaz frsh
 
Mkuu file ipo sawa lakini bdo ni stock firmware na Ina network lock me nahitaji lililokua unlocked tayari.
Hapa mzee hatupeani uongo uongo. Miki nakwambia kitu ambacho nimefanya mzee na nikafanikiwa
 
wakuu natumia huawei g750 android version 4.2.2 naweza kuiupgrade kwenda version kubwa zaidi na km naweza nafanyaje ili kuupgrade hiyo version,msaada wenu tafadhali..
 
Back
Top Bottom