Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,160
- 83,000
Ni propaganda tu
Masikitiko..Na watabiri ndo wamepelekea kupangwa kwa bilioni 703 na ninavyoandika hivi zinatumika.
Salama awamu hii? We unachekesha. Kusoma hujui ata picha uoni?Kama fedha zetu zitakuwa salama hakuna wa kumlaumu.
Kuna wewe sasa na kuna mimi nauza icecream nimeshindwa kuagiza vijana nikiwaza mvua zikianza miez hii nitapata shida kuwarudisha na nisipowarudisha nitawalisha nini. Yaani wanivurugia mipango yangu yote, wawe wanajihakikishia hizo habari zao kabla hawajazileta kwetu jman, wengine tutoke ndio tule sio kama wao wanashinda kwa viyoyozi mwisho wa mwezi wanaenda kutega mikonoWametuharibia mno biashara hasa sisi tunaofata maonesho.mfano maonesho ya madini geita watu tumepata hasara sana yaani hakuna watu kabisa
Huenda walikosea, computer ilionyesha "jua kali" wao wakafikiri ni el nino.Nani alaumiwe? TMA au wanasiasa kututia uwoga?