Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,284
- 111,335
Kwanini hii isiwe tabia endelevu? Mimi mpaka sasa naishi na ule utaratibu wa wakati wa Covid ndivyo binadamu anavyotakiwa kuishi, tangawizi, vitunguu vikali, pilipili, limao kwa wingi, mchaichai, sanitizer kunawa mikono kwa sabuni etc.Hujaona mitaro ilivyozibuliwa nchi nzima? Una macho huoni wewe?
Usafi unaofanyika sasa inapaswa kuwa ndio tabia endelevu na local government wabanwe katika hili.
Kwenye kata yangu tuna barabara za lami, sasa ile mitaro imenguliwa zile mifuniko yake kila mtu asafishe mbele ya nyumba yake matope na michanga iliyotoka kwa mtaa mmoja tu unapata jibu maafa yetu mengine kumbe yanatokana na ukosefu wa akili tu, tena ilitakiwa ipitishwe by law nyumba zote ni lazima ziwe na ngata za kuvuna maji kuhifazi kwenye simtank au yachimbiwe matank ya chini ya ardhi unapunguza sana flooding za mitaani.
