Willykipara
Member
- Aug 15, 2026
- 28
- 42
Tanga sehemu gani mvua imepiga?Wamesema wiki mbili za mwezi oktoba ,ambapo ni leo na kuendelea .
Huku Tanga kulikuwa na jua ila leo tumeamka na mvua.
Tanga sehemu gani mvua imepiga?Wamesema wiki mbili za mwezi oktoba ,ambapo ni leo na kuendelea .
Huku Tanga kulikuwa na jua ila leo tumeamka na mvua.
Nani alaumiwe? TMA au wanasiasa kututia uwoga?
Tanga mjini ,tumeamka nayo .Imepiga usiku ,na hii asubuhi.Tanga sehemu gani mvua imepiga?
Bila kijambakoti na talawanda miguuni?kwa kweli sisi zetu ni dua tu. ilisikika sauti ya bwana mmoja mtulivu sana alievaa msuri na barakashia
Ndo TMA wajaze watu mitandaoni ili kuondoa misconceptions zinazozidi kujitokeza kwa watu.Sio TMA pekee walitabiri mvua kubwa kuwepo. Hata vyombo vya nje.
Hawa ndio wanataka katiba mpya hata uwezo tu wakufikiri mambo ya kawaida bado, sasa uwalaumu TMA kwamba wamekosea kutoa tahadhari au nini?
Binafsi naona sawa tu wakitabiri halafu isije kuliko kinyume chake, wakae kimya halafu ije.Ndo TMA wajaze watu mitandaoni ili kuondoa misconceptions zinazozidi kujitokeza kwa watu.
Bila kufanya hivyo watu Wataona ni upigaji tu.
Nani alaumiwe? TMA au wanasiasa kututia uwoga?
Usikute wamehairisha afu hawatuambiiNani alaumiwe? TMA au wanasiasa kututia uwoga?
Hujaona mitaro ilivyozibuliwa nchi nzima? Una macho huoni wewe?Najiuliza zile billion 700 zimebaki shilling ngapi?
Huku nilipo hamna kilichofanyika ni bila bilaHujaona mitaro ilivyozibuliwa nchi nzima? Una macho huoni wewe?
Mtafikiwa; subira yavuta heri.Huku nilipo hamna kilichofanyika ni bila bila