Tumuombee Dua Mtambuzi Apone Haraka!!!

mwenyezi mungu ndiye huweza wa kila juu yetu, nandie anapanga mtihani gani ampatie mea wake ampendae na kwa wakati, kaka umechaguliwa wewe na kwa uwezo wake utashinda mtihani huu inshaallah.... ugua pole!!
 
best Mtambuzi pole sana Mungu atakuponya na kukupa afya njema ili urudi mjengoni kuleta hekima zako na busara zako hapa
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mzee mwenzangu Mtambuzi. Mungu akupe uponyaji wa haraka. Hivi amu hajui kama mtambuzi anaumwa? Nimeongea naye punde na hajaniambia. Mkimwona mwambieni nimekasirika sana eti.

Mbon safo Paloooo Paloma.
 
Last edited by a moderator:
Tunashukuru kwa taarifa Paloma, tunamwombea apate afueni mapema aweze kurudi kwenye shughuli zake za kila siku.
 
Last edited by a moderator:
Mbon shafoo asprooo! Hv hujui amu yupo busy anatafuta ugoro akavute na Madame B
Pole sana mzee mwenzangu Mtambuzi. Mungu akupe uponyaji wa haraka. Hivi amu hajui kama mtambuzi anaumwa? Nimeongea naye punde na hajaniambia. Mkimwona mwambieni nimekasirika sana eti.

Mbon safo Paloooo Paloma.
 
Last edited by a moderator:
Get well soon my shem Mtambuzi
Mungu akunyoshee mikono yake akuponye
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…