Tumsikilize Mange Kimambi pamoja na Edo wa WASAFI

Kweli Kimambi ana uchungu na Tanzania na unamasikini. Anatamani vigogo hata kunyongwa.
 
Wewe kweli kichwani ni kutupu kabusa. Unafiki umekuondolea akili.

Watu wanaongelea rwforms ili kufanya uchaguzi uwe huru na wa haki. Ili viongozi wawekwe na wananchi siyo mapolisi shetani na wakyrugenzi shetani; wewe unakuja na hadithi out of content and context. Usiuonee fahari ujinga kwa sababu ya unafiki.

Jambo la muhimu, nchi inahitaji reforms, ungekuwa na akili angalao kidogo ungetoa maoni yako kuonesha hizo reforms zifanywe kwa namna gani.
hata mtoto mdogo ukimwuliza kiongoz anachaguliwa na polce au raia atakujbu RAIA.
Je raia hulazimiswa kumchagua mtu jibu n hapana
 
Watanzania tuna akili ya kujua nani shetani nani malaika.

Nimeishi katika serikali zote,kuna wakati nilisapoti chadema tena kwa michango,lakini kwa sasa,naona kabisa chadema wamepoteza mwelekeo,hawana maono wanatafuta kiki tu!
Chadema imejaa watu wasio na hekima wala fahamu.
Ninanusa hatari ya kikundi cha watu wanaotamani tu madaraka bila kujali wanayapataje!

Chadema huwezi kupata watu kama Dr Nchimbi wala Dotto Biteko.
CCM ina hazina ya watu haswaa.Hatuwaoni huko Chadema.
Bora mngekuwa nao japo wachache tungewaelewa.

K
 
SIasa za instqgram hazijawahi shinda siasa za nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa

Kupitia hizi keybords Nasubiri Chadema waandamane wakifunga mitaa yote ya nchi hii

Nasubiri wanachadema wajazane mahakamani

Nasubiri wanachadema washike dola
Umeanza Mama D, safari hii utayaona makubwa Mungu akupe afya njema ili uweze kuyaona kwa macho yako , na utatengeneza ushuhuda kwa vizazi vyako vijavyo
 
Leo Mange ndio model wako?

Anyways alichoongea leo ndio inatakiwa kuwa lengo kuu la watanzania

Na siyo kujificha kwenye chaka la chakandumuz au ccm
Reforms ni jambo la waTanzania wote wenye akili👿
 
Tatizo ni ujuaji mwingi
wanamitazamo ya kichama na c kiongoz sahih anaefaa kuongoza.
Upande wangu nisingependa samia arud madarakan koz nyuma yake kuna wanaomsukuma na wanapga pesa kuptia yey..
Nikiangalia upande wa pili mtu waliyemweka agombee urais moyo unakataa kabx ndo mbinafs pia katiri na kama kisaikolojia hayupo timamu iv pia ana njaa kupta maelezo.
Sina chama ila naangalia nani anafaa
 
Kuna Mwananchi anayekataa Reforms ?!!!!

Hakuna issue ni uwakilishaji unakuwepo in such a way ya kuweza kuingiliwa na kupigiwa Propaganda na mambo mengi yamekuwa politicize hivyo raisi sana kwa watawala na wanufaika kutumia divide and rule...

Ifike wakati mambo muhimu ya nchi na wananchi yabebwe kama ni ya kitaifa na ya wananchi na sio ya watu fulani (ukishasema hili ni la kwetu au kulivika sura ya ni la kwenu) mwisho wa siku mtalipambania wenyewe wakati linagusa wengi
Katiba mpya si ilikua ya kitaifa iliishia wapi?. Mkuu Kuna kitu ukijui kuhusu watu wanaokua madarakani. Siku zote wanawaza kuwa tunafanyaje tuendelee kukaa madarakani. Kwa hiyo chochote wanachokihisi kitasababisha sisi kutoka hata kiwe Cha wananchi kitapingwa tu. Na hata ikibidi kuuwa watu ili wasitoke watauwa tu. Na ndiyo maana hata siku moja wale wanaoumiza watu ila inafaida kwa watawala Kama utosikia wanakemea. Angalia watawala siku zote wanasisiza AMANI Ila hawasisitizi HAKI. Ni kwasababu haki kwao ni adui kwa madaraka yao.
 
wanamitazamo ya kichama na c kiongoz sahih anaefaa kuongoza.
Upande wangu nisingependa samia arud madarakan koz nyuma yake kuna wanaomsukuma na wanapga pesa kuptia yey..
Nikiangalia upande wa pili mtu waliyemweka agombee urais moyo unakataa kabx ndo mbinafs pia katiri na kama kisaikolojia hayupo timamu iv pia ana njaa kupta maelezo.
Sina chama ila naangalia nani anafaa
Kwa maelezo yako tu wewe ni ccm. Hakuna mtoto wa kumdanganya humu jukwaani
 
Katiba mpya si ilikua ya kitaifa iliishia wapi?.
Sio hapa tu duniani sehemu nyingi average voter sio informed. Kwahio hata Katiba hajui inamu affect vipi directly, pia Katiba ni sheria na kama sheria zinavunjwa hata sasa hivi basi hata Katiba itapindishwa au kuvunjwa, ndio maana kila siku nasema tutaendelea hivi hivi ila itafika wakati hawa watoto ambao wanazaliwa leo kutokana na kwamba ukubwani kwao watakuwa hawana lolote basi watawala watapata shida sana sababu hawajui kula na vipofu na wanatafuna mpaka makombo..., in short kesho ya civilization ipo mashakani unless mabadiliko makubwa sana yatokee
Mkuu Kuna kitu ukijui kuhusu watu wanaokua madarakani. Siku zote wanawaza kuwa tunafanyaje tuendelee kukaa madarakani.
Naam na sababu watu ni waroho na wanakaa madarakani miaka mitano mitano mpaka kumi ndio maana hata hawajali long term, wanapoharibu leo hawajui wala kujali atakayekuja kesho atapata shida kiasi gani, hivyo wangekuwa na akili ya utawala wao kuwa sustainable wangejua ukila na kipofu usimshike mkono
Kwa hiyo chochote wanachokihisi kitasababisha sisi kutoka hata kiwe Cha wananchi kitapingwa tu.
Hakuna watu wachache / watawala wanaoweza kupambana na majority yaani wananchi wengi watafanya propaganda na kutafuta wachawi na kulaumu wengine, tatizo ni kwamba wanasiasa hawaaminiki kwahio hata mwananchi anaona huyu atakuwa kama yule tu..., vilevile siasa za majitaka na matukio wanashindwa ku translate shida na masuluhisho ya wananchi moja kwa moja..., kama mvuvi anapata shida mpinzani akimsaidia huyo mvuvi moja kwa moja kwa lobbying, elimu na kumuonyesha njia huenda huyo mvuvi atamuelwa zaidi kuliko kumwambia nipe kura nipate cheo ili nikusaidie
Na hata ikibidi kuuwa watu ili wasitoke watauwa tu. Na ndiyo maana hata siku moja wale wanaoumiza watu ila inafaida kwa watawala Kama utosikia wanakemea. Angalia watawala siku zote wanasisiza AMANI Ila hawasisitizi HAKI. Ni kwasababu haki kwao ni adui kwa madaraka yao.
Siasa duniani sasa hivi ni ulaghai na propaganda tangia kitambo sana ndio maana hata watu wengi wamekuwa hawajihusishi na siasa hivyo kuamua kujiliwaza na mengine (mpaka siku ambapo hata vile vingine vitakuwa havipo / watashindwa kuvipata ndio hapa patachimbika kwa wote, i.e. waliomo na wasiokuwemo)
 
Sio hapa tu duniani sehemu nyingi average voter sio informed. Kwahio hata Katiba hajui inamu affect vipi directly, pia Katiba ni sheria na kama sheria zinavunjwa hata sasa hivi basi hata Katiba itapindishwa au kuvunjwa, ndio maana kila siku nasema tutaendelea hivi hivi ila itafika wakati hawa watoto ambao wanazaliwa leo kutokana na kwamba ukubwani kwao watakuwa hawana lolote basi watawala watapata shida sana sababu hawajui kula na vipofu na wanatafuna mpaka makombo..., in short kesho ya civilization ipo mashakani unless mabadiliko makubwa sana yatokee

Naam na sababu watu ni waroho na wanakaa madarakani miaka mitano mitano mpaka kumi ndio maana hata hawajali long term, wanapoharibu leo hawajui wala kujali atakayekuja kesho atapata shida kiasi gani, hivyo wangekuwa na akili ya utawala wao kuwa sustainable wangejua ukila na kipofu usimshike mkono

Hakuna watu wachache / watawala wanaoweza kupambana na majority yaani wananchi wengi watafanya propaganda na kutafuta wachawi na kulaumu wengine, tatizo ni kwamba wanasiasa hawaaminiki kwahio hata mwananchi anaona huyu atakuwa kama yule tu..., vilevile siasa za majitaka na matukio wanashindwa ku translate shida na masuluhisho ya wananchi moja kwa moja..., kama mvuvi anapata shida mpinzani akimsaidia huyo mvuvi moja kwa moja kwa lobbying, elimu na kumuonyesha njia huenda huyo mvuvi atamuelwa zaidi kuliko kumwambia nipe kura nipate cheo ili nikusaidie

Siasa duniani sasa hivi ni ulaghai na propaganda tangia kitambo sana ndio maana hata watu wengi wamekuwa hawajihusishi na siasa hivyo kuamua kujiliwaza na mengine (mpaka siku ambapo hata vile vingine vitakuwa havipo / watashindwa kuvipata ndio hapa patachimbika kwa wote, i.e. waliomo na wasiokuwemo)
Kabisa mkuu. Sababu Kuna Ile mtu anaona hii ainigusi inamgusa mwinginebasi Aina maana. Ila watakaposhindwa kuvipata kwa wote. Ndiyo kutawaketa watu pamoja ndipo mchimbuko utakapoanzia. Mfano si umeona katiba mpya kuona vipelengele vya ukomo kwenye ubunge tu wakaizima.
 
wanamitazamo ya kichama na c kiongoz sahih anaefaa kuongoza.
Upande wangu nisingependa samia arud madarakan koz nyuma yake kuna wanaomsukuma na wanapga pesa kuptia yey..
Nikiangalia upande wa pili mtu waliyemweka agombee urais moyo unakataa kabx ndo mbinafs pia katiri na kama kisaikolojia hayupo timamu iv pia ana njaa kupta maelezo.
Sina chama ila naangalia nani anafaa

Wapinzani hawajui maana ya upinzani.

Kwa ubinafsi wao hadi sasa hawawezi kusaidia taifa hili kwa lolote halafu bado wanalia kwamba wanaonewa.

Kwa hìi style wanaenda nayo CCM bado ipo sanq
 
wao wanaongozwa na hisia asilimia kubwa hawatumii hakili.
 
Mada imevamiwa na vilaza wasiojua wala kuelewa maana ya demokrasia. Imepoteza mwelekeo.

Mjadala unatakiwa uwe kwenye "uwezo" wa wananchi kuchagua (kwa kura halali) viongozi na wawakilishi wanaowataka na kuwaondoa (kwa kura halali) wasiporidhika na utendaji wao. Yaani kura zipatikane kihalali na ziheshimiwe (votes must be valid and must count). Wananchi waweze kukiweka chama chochote madarakani na kukiondoa kwa kura wasiporidhika.

Vilaza wanajadili vyama vilivyopo na wagombea wake. Total absurdity.

CHADEMA wanapigania hiyo hoja ya reforms, basi. Ikifanikiwa kwa mfano, CCM nao wanaweza kuweka wagombea bora zaidi na kushinda tena uchaguzi - KIHALALI. CDM wakaendelea kubaki upinzani! Vilaza hawana uwezo wa kuelewa hilo.

Leo CCM inaweka wagombea wa ovyo kwa vile tu ina watu watakaoenda "porini" na Polisi watasambaza mabox ya kura na kugawa dozi za maumivu kwa wapinzani ili kuhakikisha ushindi wa CCM - dhidi ya wananchi.
 
hata mtoto mdogo ukimwuliza kiongoz anachaguliwa na polce au raia atakujbu RAIA.
Je raia hulazimiswa kumchagua mtu jibu n hapana
Yes Raïa hulazimishwa kumchagua Raïs

Kutolazimishwa ni kuwa na mifumo ya haki na Usawa. Huwezi kuwa refa kisha ukawa Mchezaji. Ni uhuni kama Uhuni mwingine
 
Mada imevamiwa na vilaza wasiojua wala kuelewa maana ya demokrasia. Imepoteza mwelekeo.

Mjadala unatakiwa uwe kwenye "uwezo" wa wananchi kuchagua (kwa kura halali) viongozi na wawakilishi wanaowataka na kuwaondoa (kwa kura halali) wasiporidhika na utendaji wao. Yaani kura zipatikane kihalali na ziheshimiwe (votes must be valid and must count). Wananchi waweze kukiweka chama chochote madarakani na kukiondoa kwa kura wasiporidhika.

Vilaza wanajadili vyama vilivyopo na wagombea wake. Total absurdity.

CHADEMA wanapigania hiyo hoja ya reforms, basi. Ikifanikiwa kwa mfano, CCM nao wanaweza kuweka wagombea bora zaidi na kushinda tena uchaguzi - KIHALALI. CDM wakaendelea kubaki upinzani! Vilaza hawana uwezo wa kuelewa hilo.

Leo CCM inaweka wagombea wa ovyo kwa vile tu ina watu watakaoenda "porini" na Polisi watasambaza mabox ya kura na kugawa dozi za maumivu kwa wapinzani ili kuhakikisha ushindi wa CCM - dhidi ya wananchi.
Votes must be valid and count
 
Back
Top Bottom