Tumsikilize Mange Kimambi pamoja na Edo wa WASAFI

Tumsikilize Mange Kimambi pamoja na Edo wa WASAFI

Wapinzani hawajui maana ya upinzani.

Kwa ubinafsi wao hadi sasa hawawezi kusaidia taifa hili kwa lolote halafu bado wanalia kwamba wanaonewa.

Kwa hìi style wanaenda nayo CCM bado ipo sanq
Madam D , hebu tupe the alternative style wanayopaswq kutumiaChadema ambayo unaamini Chadema wakiitumia hiyo the Alternative, Polisi , CCM and all that watakaa wawaangalie wafanye kazi zao kwa utulivu bila ya kuwaita wavuruga amani juu ya reform wanayoitaka .?

Thank you
 
Wakuu tumsikilize Miss Mange Kimambi kwa nini reform ni muhimu.

Pia Tumsikilize one of the Big Brain pale WASAFI . Wananchi hawafurahishwa na namna polisi wanavo behave kwenye minor issue.
-
Mwisho na kwa maoni yangu mimi kama Dr Megalodon Ndesaruo Mushi: Ukifanya a Simple survey; , asilimia 90 ya watanzania hawafurahishwi na uwepo wa Samia kama Rais. Hata wale lay persons kabisa …. watasema same thing.

Hawafurahishwi kwa sababu kuu zifuatazo;

1. Nchi imekosa Utulivu, amani na upendo,
2. Kuna mpasuko mkubwa sana wa kidini, ni Kama kuna vita ya chini kwa chini kati ya muslim na Christianity .

3. Financial management ya nchi imekuwa ni ya hovyo kuwahi kutokea. Rushwa imeongezeka maradufu. Rais alishawahi kutoa kauli yake kuwa watu wale kwa kamba yao ila sasa wasizidishe, wasifanye kufuru.

4. Hakuna nchi iliyowahi kuendelea kwa Misaada na kukopa. Malawi would be rich by far . In Tanzania , Deni la Taifa limekuwa kubwa sana na fedha hazijulikan zilipo…Rais alishakiri fedha zinaenda mifukoni mwa watu. Miradi mingi haikamiliki kwa kuwa hela hazionekani:

watu wanatoa tozo, donors wanatoa misaada, nchi inakopa… and still miradi ipo slow .kwa mfano mabarabara yanayojengwa hapo mjini ni mwaka wa 4 sasa yapo yapo tu …. The president doesn’t know what else to do … the most scariest thing

5. Nepotism ndani ya nchi imekuwa kubwa sana . Familia moja yote inamilikishwa Ofisi za Umma, the most scariest thing !

The president has lost a control … we must speak out sisi ndio WAAJIRI wake , analipwa zaidi ya 150M kwa mwezi kutoka kwenye kodi za wananchi

Dr Megalodon Mushi
Canada
Huyu dada ana kitu
 
Ishu ni kuwa na rational reasoning sioni shida kwa nyie kulikubali letu ikiwa mmeona ni la kweli na lenye tija. Hali ya mgonjwa ni tete mtu anakuja na dawa mnakataa kuitumia kwa kisingizio cha aliyeileta? 😀
Huu ni ujinga mnene sana.
Kuna Mwananchi anayekataa Reforms ?!!!!

Hakuna issue ni uwakilishaji unakuwepo in such a way ya kuweza kuingiliwa na kupigiwa Propaganda na mambo mengi yamekuwa politicize hivyo raisi sana kwa watawala na wanufaika kutumia divide and rule...

Ifike wakati mambo muhimu ya nchi na wananchi yabebwe kama ni ya kitaifa na ya wananchi na sio ya watu fulani (ukishasema hili ni la kwetu au kulivika sura ya ni la kwenu) mwisho wa siku mtalipambania wenyewe wakati linagusa wengi
 
Ishu ni kuwa na rational reasoning sioni shida kwa nyie kulikubali letu ikiwa mmeona ni la kweli na lenye tija.
Nyie kina nani ?
Kama unaongelea wanasiasa basi hususan karne hii watu wanagombania utawala na siasa zimekuwa ni za attack and survival (kufanya chini juu ili nitawale na aliyepo juu kufanya lolote ili aendelee kutawala)
Hali ya mgonjwa ni tete mtu anakuja na dawa mnakataa kuitumia kwa kisingizio cha aliyeileta? 😀
Huu ni ujinga mnene sana.
Na ndio ushauri wangu mambo ya msingi yasiwe politicised mguse mwananchi directly kwa shida zake na kutawala iwe secondary objective (au by the way) mwananchi huyu atagundua unampigania yeye na sio kupitia kwake kama daraja kwenda kuwa kama wale anaowatoa (In short Imani katika wanasiasa is at its lowest kwenye dunia ya leo)
 
Nyie kina nani ?
Kama unaongelea wanasiasa basi hususan karne hii watu wanagombania utawala na siasa zimekuwa ni za attack and survival (kufanya chini juu ili nitawale na aliyepo juu kufanya lolote ili aendelee kutawala)

Na ndio ushauri wangu mambo ya msingi yasiwe politicised mguse mwananchi directly kwa shida zake na kutawala iwe secondary objective (au by the way) mwananchi huyu atagundua unampigania yeye na sio kupitia kwake kama daraja kwenda kuwa kama wale anaowatoa (In short Imani katika wanasiasa is at its lowest kwenye dunia ya leo)
Wanasiasa wao sisi ni fursa kwao
 
yapo yenye msingi kwenye bandiko lako ila hilo la 90% aidha umeandika kiushabiki au unataka kumfurahisha aliyekutuma.
Weka poll hapa jf kati ya wanaompenda samia na wasiompenda ukipata majibu yafanye ndio sample
 
Sawa tumekusikia ila huu uvaaji unatukosesha imani kama kweli ni mwenzetu au ni mwingne
1745826696107.png
 
Yes Raïa hulazimishwa kumchagua Raïs

Kutolazimishwa ni kuwa na mifumo ya haki na Usawa. Huwezi kuwa refa kisha ukawa Mchezaji. Ni uhuni kama Uhuni mwingine
tupe ushahid hata wa video wa unachokisema
 
Polisi wanawaogopa wasiojulikana?Je, Kuna uhusiano wowote kati ya wasiojulikana na chama Tawala?🤔
 
Akili ya kuchangiwa ,wewe kama wewe unategemea sala za mtu mwengine kuingia peponi.
Hongereni wananchi wa Pemba ,mala hii wameshaanza kutoa tangazo atakaekimbia na sanduku la kura,aage kwao.
 
Madam D , hebu tupe the alternative style wanayopaswq kutumiaChadema ambayo unaamini Chadema wakiitumia hiyo the Alternative, Polisi , CCM and all that watakaa wawaangalie wafanye kazi zao kwa utulivu bila ya kuwaita wavuruga amani juu ya reform wanayoitaka .?

Thank you
shida chadema mnatumia nguvu nying kulalamikia hoja, hii hupelekea watawala nao kutumia nguvu kulinda ugari wao, na hapo jamii inawaona chadema kama wapenda fujo.

Nenden na wapinzan polepole achen mihemuko kwan kumtoa mwenyej hua ni ngumu wakat watu wameshamzoea. Oneshen mazuri kwa wananch mkipenya kweny nafas kadhaa tumieni chance hyo na mtazamo wa chama uwe safi.
 
Polepole…..? Fafanua
 
Polepole…..? Fafanua
naamanisha msiwe na haraka, nenden mnatengeneza kitu/mikakati kwa ajir ya kesho. Mkumbuke nao wanalinda ugari wao.
Pia msiyaseme madhaifu yao bali tengenezen mazuri yenu jamii iwaelewe.

Kwa mfano mim ni mroman afu aje msabato anishawish nihamie kanisa lao huku akiniponda kua roman wanaabudu masanam je' unadhan ntamchukuliaje huyu msabato?
Kanipondea iman yangu. Je nitahama?
 
Back
Top Bottom