imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,456
π―ππΏπ§π§πππππππππππDr Megalodon Mushi
Canada
π―ππΏπ§π§πππππππππππDr Megalodon Mushi
Canada
Ameongea kwa uchunguHuyu dada mmoja ni wanaume 5000 huko lumumba.
MnoAmeongea kwa uchungu
Ishu ya jiwe imeingiaje, mbona unaonesha poor thinking; how do you compare two bad things ? Kwahiyo kama enzi ya JIWE hali was not good β¦. Therefore ni sahihi pia kwa sasa hivi tukawa na hali mbaya?Yani nchi imekosa utulivu Sasa hivi kuliko wakati wa Jiwe?
Nadhani mna selective memory!
Nasisitiza ukifurahia mwizi kupigwa kwa sababu si ndugu Yako, usilalamike siku mwizi akiwa ndugu Yako, atapigwa tu!
Man up!
Hao wengi wanangoja nini? Ama inabidi wapewe posho ndio waunge mkono reforms?Kuna Mwananchi anayekataa Reforms ?!!!!
Hakuna issue ni uwakilishaji unakuwepo in such a way ya kuweza kuingiliwa na kupigiwa Propaganda na mambo mengi yamekuwa politicize hivyo raisi sana kwa watawala na wanufaika kutumia divide and rule...
Ifike wakati mambo muhimu ya nchi na wananchi yabebwe kama ni ya kitaifa na ya wananchi na sio ya watu fulani (ukishasema hili ni la kwetu au kulivika sura ya ni la kwenu) mwisho wa siku mtalipambania wenyewe wakati linagusa wengi
Hizo reforms wanazoziunga wanawaamini wanaohuburi hizo reforms ? Politicians duniani washakuwa makasongo na hawaaminiki..., ndio maana nimesema na nitasema tena haya mambo yakiwa politicize unaingiza upenyo wa propaganda za wao na sisi..., ila ikiwa ni vita dhidi ya matatizo na manyanyaso yote hapo kutakuwa hakuna mlengo huu wala ule bali watanzania na udhalimu...Hao wengi wanangoja nini? Ama inabidi wapewe posho ndio waunge mkono reforms?
5,000,000Huyu dada mmoja ni wanaume 5000 huko lumumba.
Unatarajia hao watu wasubiriwe hadi lini ndio tujue wako tayari?Hizo reforms wanazoziunga wanawaamini wanaohuburi hizo reforms ? Politicians duniani washakuwa makasongo na hawaaminiki..., ndio maana nimesema na nitasema tena haya mambo yakiwa politicize unaingiza upenyo wa propaganda za wao na sisi..., ila ikiwa ni vita dhidi ya matatizo na manyanyaso yote hapo kutakuwa hakuna mlengo huu wala ule bali watanzania na udhalimu...
Until that day, divide and rule will be used by the status quo, kitakachokuwa kinabadilika ni kubadilisha watawala...
Kama mnaamini siasa za nyumba kwa nyumba kwanini hamtaki mfumo wa tume ya uchaguzi kuwa huru?SIasa za instqgram hazijawahi shinda siasa za nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa
Kupitia hizi keybords Nasubiri Chadema waandamane wakifunga mitaa yote ya nchi hii
Nasubiri wanachadema wajazane mahakamani
Nasubiri wanachadema washike dola
Mkuu kila siku watu wanakufa na mogonjwa , visungura na hata boda boda risasi ina kipi cha zaidi ya kifo ambacho kila saa kinatokea Tanzania?Nchi imekosa utulivu na amani maneno yanatoka mdomoni kwa mtu ambae tangu azaliwe hajawahi kuskia sauti ya risasi akiamka asubuhi anawaza Arsenal leo anacheza na nani pumbaaav,
nendeni Sudan na Congo mkaone maana halisi ya utulivu na amani alafu muone kama mtapata huo muda wa kuwaza Arsenal anacheza lini na kuwaza kubet
Nani kasema usubiri mtu ? Wewe hata ukitaka leo fanya unachofanya wakati wowote ule (ni Haki yako) ila usishangae watu wengi wasipokufuata hata kama unachokiongelea kinawanufaisha wao (huenda hawakuelewi au hawakuamini au wanaona wewe na wale ni walewale)Unatarajia hao watu wasubiriwe hadi lini ndio tujue wako tayari?
Visungura ukifa navyo hiyo ni ujinga wako usifananishe na machafuko ya risasiMkuu kila siku watu wanakufa na mogonjwa , visungura na hata boda boda risasi ina kipi cha zaidi ya kifo ambacho kila saa kinatokea Tanzania?
Wewe mama nakuonaga una huruma, kumbe una roho mbaya kama Samia.SIasa za instqgram hazijawahi shinda siasa za nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa
Kupitia hizi keybords Nasubiri Chadema waandamane wakifunga mitaa yote ya nchi hii
Nasubiri wanachadema wajazane mahakamani
Nasubiri wanachadema washike dola
Sio idadi hiyo ndogo kule ni wanaume 1000000 na usheeHuyu dada mmoja ni wanaume 5000 huko lumumba.
Huyo jamaa uliyemjibu hii comment wakujiita Truth Matters ni mmoja ya wafuasi wa upinzani wapumbavu sana, na uwepo wa watu wa aina yake ndio wanafanya mpaka watanzania wanashindwa kuwachukulia serious wapinzani.Ishu ya jiwe imeingiaje, mbona unaonesha poor thinking; how do you compare two bad things ? Kwahiyo kama enzi ya JIWE hali was not good β¦. Therefore ni sahihi pia kwa sasa hivi tukawa na hali mbaya?
Huyo Jiwe unaemtaja unajua kilichomtoa madarakani?
Two bad things canβt be compared , they are all bad . Samoa canβt be evil kwa justification kuwa JPM was evil too
Are we mad ?