Tumsikilize Mange Kimambi pamoja na Edo wa WASAFI

Tumsikilize Mange Kimambi pamoja na Edo wa WASAFI

SIasa za instqgram hazijawahi shinda siasa za nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa

Kupitia hizi keybords Nasubiri Chadema waandamane wakifunga mitaa yote ya nchi hii

Nasubiri wanachadema wajazane mahakamani

Nasubiri wanachadema washike dola

Wewe kweli kichwani ni kutupu kabusa. Unafiki umekuondolea akili.

Watu wanaongelea rwforms ili kufanya uchaguzi uwe huru na wa haki. Ili viongozi wawekwe na wananchi siyo mapolisi shetani na wakyrugenzi shetani; wewe unakuja na hadithi out of content and context. Usiuonee fahari ujinga kwa sababu ya unafiki.

Jambo la muhimu, nchi inahitaji reforms, ungekuwa na akili angalao kidogo ungetoa maoni yako kuonesha hizo reforms zifanywe kwa namna gani.
 
Hao G55 wala usipoteze muda wako.
 
Dada kaongea point kubwa sana.

Tunataka katika nchi hii government of the people by the people.
Tukifuata hili na kuachana na chama, dini na siasa tutakua watu wa maana sana na wenye nchi

Circus za chakandumuz na ccm ni mchezo unaojirudia mnoooo

For the past 30 years…. Time to abandon siasa za bendera
 
Wanaume wazima mnangojea Mange awafundishe cha kufanya.
Je ni wananume wangapi wazima wanaendelea kuongozwa hivi sasa wakifanya yale yale kinyume na ushauri Mange? Kwani huko CCM idadi wa wanaume wazima ni ngapi!
 
Hiyo no 2 na 5 umezitengeneza labda kama ulete ushahidi hapa vinginevyo ni chuki tu zinawasumbua
Wewe unaepinga ndio ulete Ushahidi, ili niweze ku nulify namba 2

Kati ya Samia na Jiwe watanzania watachagua jiwe

Sina chuki na Madam and I pray the best kwa Utawala wake ila , ni the most incompetent president we ever had in Tanzania History …. She is just a TV …. Remote ipo mikoni mwa wengine, the most scariest thing

I am sorry to say that
 
Wakuu tumsikilize Miss Mange Kimambi kwa nini reform ni muhimu.

Pia Tumsikilize one of the Big Brain pale WASAFI . Wananchi hawafurahishwa na namna polisi wanavo behave kwenye minor issue.
-
Mwisho na kwa maoni yangu mimi kama Dr Megalodon Ndesaruo Mushi: Ukifanya a Simple survey; , asilimia 90 ya watanzania hawafurahishwi na uwepo wa Samia kama Rais. Hata wale lay persons kabisa …. watasema same thing.

Hawafurahishwi kwa sababu kuu zifuatazo;

1. Nchi imekosa Utulivu, amani na upendo,
2. Kuna mpasuko mkubwa sana wa kidini, ni Kama kuna vita ya chini kwa chini kati ya muslim na Christianity .

3. Financial management ya nchi imekuwa ni ya hovyo kuwahi kutokea. Rushwa imeongezeka maradufu. Rais alishawahi kutoa kauli yake kuwa watu wale kwa kamba yao ila sasa wasizidishe, wasifanye kufuru.

4. Hakuna nchi iliyowahi kuendelea kwa Misaada na kukopa. Malawi would be rich by far . In Tanzania , Deni la Taifa limekuwa kubwa sana na fedha hazijulikan zilipo…Rais alishakiri fedha zinaenda mifukoni mwa watu. Miradi mingi haikamiliki kwa kuwa hela hazionekani:

watu wanatoa tozo, donors wanatoa misaada, nchi inakopa… and still miradi ipo slow .kwa mfano mabarabara yanayojengwa hapo mjini ni mwaka wa 4 sasa yapo yapo tu …. The president doesn’t know what else to do … the most scariest thing

5. Nepotism ndani ya nchi imekuwa kubwa sana . Familia moja yote inamilikishwa Ofisi za Umma, the most scariest thing !

The president has lost a control … we must speak out sisi ndio WAAJIRI wake ,
analipwa zaidi ya 150M kwa mwezi kutoka kwenye kodi za wananchi

Dr Megalodon Mushi
Canada
Ndiyo maana mnaojiita wasomi sk hz mnadharauliwa mpk na wapiga debe
 
Je ni wananume wangapi wazima wanaendelea kuongozwa hivi sasa wakifanya yale yale kinyume na ushauri Mange? Kwani huko CCM idadi wa wanaume wazima ni ngapi!
Mtu akiongea kingereza basi mnamuona anajua 🤣
 
Huu uchafu wa kujaza maboxs ya kura za majini hauna nafasi tena kwa mustakabadhi wa Taifa #No reform No election
 
Attachments

  • NEC yajibu madai ya kukamatwa kwa karatasi feki za kupigia kura.mp4
    4.4 MB
SIasa za instqgram hazijawahi shinda siasa za nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa

Kupitia hizi keybords Nasubiri Chadema waandamane wakifunga mitaa yote ya nchi hii

Nasubiri wanachadema wajazane mahakamani

Nasubiri wanachadema washike dola
Mavi ww
 
Dada kaongea point kubwa sana.

Tunataka katika nchi hii government of the people by the people.
Walibia tuliambiwa wanaweza vita vya jangwani, ukiwapereka msituni hawawezi na mabunduki yao, ndio mana walitekwa wengi vita ya kumkimbiza Amini. Watanzania raia vita wanavyoviweza ni vya kujificha, mana hawana siraha.
Chadema imepatia sana kutumia hii kitu. Ni kuhamasisha tu kuwa siku ya kupiga kura wananchi wajifiche majumbani kwao. Hii 100% inafanikiwa na ndio inawaogopesha magaidi halisi
 
SIasa za instqgram hazijawahi shinda siasa za nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa

Kupitia hizi keybords Nasubiri Chadema waandamane wakifunga mitaa yote ya nchi hii

Nasubiri wanachadema wajazane mahakamani

Nasubiri wanachadema washike dola
watabondwa wadanganye tu!

Yan polce anapomwona au kuhsi harufu ya mwana cdm anahs mda wowote fujo inatokea
 
watu wanatoa tozo, donors wanatoa misaada, nchi inakopa… and still miradi ipo slow .kwa mfano mabarabara yanayojengwa hapo mjini ni mwaka wa 4 sasa yapo yapo tu …. The president doesn’t know what else to do … the most scariest thing

5. Nepotism ndani ya nchi imekuwa kubwa sana . Familia moja yote inamilikishwa Ofisi za Umma, the most scariest thing !

The president has lost a control … we must speak out sisi ndio WAAJIRI wake , analipwa zaidi ya 150M kwa mwezi kutoka kwenye kodi za wananchi

Dr Megalodon Mushi
Canada
Barabara, Skuli, Stendi nyingi zinazojengwa ni Zanzibar. Kuna barabara inatakiwa ifike hadi Kizimkazi kwa upana ule ule!
Duuh SASHA anapokea zaidi ya 150M kwa uwezo upi wa akili?
 
Back
Top Bottom