Tumsikie Laigwan akiongea English

Tumsikie Laigwan akiongea English

Yaani mzee anatema YAI orignal kabsa natamani wangemwambia ataje na kilometer za barabara ili tuone tofauti
 
sijakuelewa hata kidogo
Ukishindwa kuelewa jambo kuna mambo makuu makili:-
1.uelewa au upeo wako finyu kupambanua mambo.
2. Yawezekana jambo lenyewe halikuhusu, kwa hiyo ni vyema ukaachana nalo.
 
hahaha safi sana laigwan!

vilazar wa ngeli wanaweweseka hawana hamu.
 
Ukitaka hiyo ligha ipande stua vitu kidogo utatema yai balaa ata huyo mzee ni kama alikuwa keshastua vitu kidogo.
 
Mchukuen huyu amfundishe jamaa yenu bana
Tanzania ukitaka watu wakuite unajua kiingereza basi hata kama unabreak weka tu lafudhi ya kimarekani baasi. Ukiwa una lafudhi ya kisukuma hata ujie vipi watakuambia hujui basi tumewazoea!
 
Kama kweli wewe unajua kiingereza ilibidi ulete post hii kwa kiingereza na sio kuponda eti wasukuma hawajui kiingereza, inasikitisha sana kudharauliana kiasi hiki, mimi ni msukuma na siku zote sipendi kudharau au kuandika au kupost bandiko lolote lenye kuleta misingi ya kibaguzi,
Unaposema wasukuma hatujui kiingereza nashindwa kufahamu umetumia sample size gani mpaka uhukumu jamii inayokalia 20% ya watu wote Tanzania.

Wewe ndo hujui hicho kiingereza ila unaona ngao ya kukukinga ni wasukuma.
Kweli kabisa, haiwezekani atumie sample ya mtu mmoja tu, tena ambaye sio msukuma halisi, kufikia hitimisho hilo......imeniuma sana!
 
tukubaliane kimsingi mkuu..wasukuma wote kiengereza chao ni cha mashaka hasa Pronounciation yao ni kichefuchefu kabisa..
Mi kiinglish nakijua cha kuandika na hunishindi lakini cha kuongea mmh mashikolomagenii nashindwa kutiririka ! Ndo tulivyo wasukuma wengi !!
 
Ukishindwa kuelewa jambo kuna mambo makuu makili:-
1.uelewa au upeo wako finyu kupambanua mambo.
2. Yawezekana jambo lenyewe halikuhusu, kwa hiyo ni vyema ukaachana nalo.
Sasa nimekuelewa..kumbe hata ushoga nao unawamaliza wasukuma?
 
Back
Top Bottom