Tumshukuru Mungu kwa kila jambo...

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Leo nimemuona O Ten maeneo ya Juwata hapa Morogoro Mjini. Sasa bahati mbaya sikuwa nimemjua ila vijana wa Bajaji wanaenda Kilakala wakamuita ndiyo nikashtuka kumbe huyu ni O Ten.

Jamaa amechoka sana, Maisha yake mabov, I wish niseme tumchangie maana ana Maisha magumu sana. Nimeongea nae mambo kadhaa akanambia Maisha yake sio Mazuri na analala Kwa Watu tu, kimsingi amekonda Sana.

Any way Tumshukuru Mungu kwa kila jambo
 
Shida huwa inakuwa wapi kwa Hawa watu? Yaani wanavyotrendishwa na jinsi maisha Yao yalivyo huwez kudhania. Kweli umaarufu sio kuwa na maisha bora
 
Nimeongea nae mambo kadhaa akanambia Maisha yake sio Mazuri na analala Kwa Watu tu, kimsingi amekonda Sana.

Philipp Nyandindi? One of the game losers
.
 
Vijana wengi wakizipata pesa wanafuja na wapambe ila wakiishiwa wanatia huruma sana na wapambe wanakimbia
 
Eyo ni check eyo ninacheck ninavyo ng'ara
Hii ngoma ina beat kali sana.
Eyo nicheck...
Nicheck niko VIP na.mastar kibao
Walionyoosha vidole kukiri wangu ufanisi
Napenda sana pombe napenda sana mademu
Napenda sana kujirusha yani kifupi ni starehe
Enzi hizo nikiwa kidato cha pili... Kweli nmezeeka
 
Ulikua form II, heshima yako bro😂🤣😂
 
Huyu jamaa kuna kipindi alikua anashinda kinondoni B ...akiwa na kina kimbuga na Ally com (Aliyeimba Selina na Moyo) ...alikua amechoka sana ...akawa anagongea Hela ya bia ....
 
Leo nimemuona O Ten maeneo ya Juwata hapa Morogoro Mjini. Sasa bahati mbaya sikuwa nimemjua ila vijana wa Bajaji wanaenda Kilakala wakamuita ndiyo nikashtuka kumbe huyu ni O Ten.

Jamaa amechoka sana, Maisha yake mabov, I wish niseme tumchangie maana ana Maisha magumu sana. Nimeongea nae mambo kadhaa akanambia Maisha yake sio Mazuri na analala Kwa Watu tu, kimsingi amekonda Sana.

Any way Tumshukuru Mungu kwa kila jambo
"Mkuu wa Mkoa" ngoma tamu sana aisee
 
Back
Top Bottom