Lamwai na Tambwe walikuwa CHADEMA mwaka gani?Wote hawa waliwahi kuwa wana CDM. Baadhi yao walikuwa na nguvu kama Zitto.
Lamwai na Tambwe walikuwa CHADEMA mwaka gani?Wote hawa waliwahi kuwa wana CDM. Baadhi yao walikuwa na nguvu kama Zitto.
Hivi kwanini CDM haimchukulii Zitto hatua stahiki...?
Zitto anahitaji kushauriwa kuwa kama anapenda kuwa mwana CDM kwa dhati, afanye mambo yafuatayo:
- Awaheshimu viongozi wake.
- Akemee wana CCM wanaotamani CDM kusambaratika.
- Aheshimu chama chake kama ambavyo kina Mwigulu wanavyokuwa watiifu kwa CCM yao.
- Awe makini na wanaomsifia hasa vyombo vya CCM na serikali
- Awaambie watanzania kuwa yeye si zaidi ya chama;
Mengine mnaweza kuongeza.
mnahangaika sana,,,hayo yote manne anayafanya kila siku,,naona sasa bora muwashauri wale wanaotumia RUZUKU NA FEDHA ZA CHAMA HOVYO wakipende chama coz kula fedha za chama ni kukichukia chama. Je umewahi kuwashauri au ndio watangaza neno la kinafiki kama afanyavyo msigwa?????
Wanamuogopa,
Sio yeye msamehe ni hela za ccm kala pesa mingi kutoka Lumumba atalipaje huyu ni msaliti tu nalazima tumtimue ndani ya chama takataka haziwezi kubaki baharini lazima ziende kando.
Wanajamvi nawatakia xmas njema na khery ya mwaka mpya.
Dhumuni la kufungu thread yangu leo,ni kuhusiana na mambo yanayoendelea kati ya zito na vingozi wake ndani ya chadema.
Kwanza kabisa naomba niwe wazi kabisa, ya kwamba mimi sivutiwi na siasa anazozifanya zito period.
Nichotaka kukushauri na kukuomba,kwanini usiondoke cdm ili utuachie chama chetu?alafu kwanza ulikwisha wai kusema utaachana na siasa! Sasa kwanini unaleta vibwanga au ndio unafanya siasa za chuki na kulipiziana visasi?
Atanaivyo nasikia kigoma inaongozwa na upinzani,tena cha kufurahisha inaonekana nccr ndiyo yenye nguvu kwa upinzani kuliko cdm. Sasa kwanini usiende huko?
Kwa style hii sisi wanachama wa chadema tunazidi kuamini wewe ni pandikizi umepandikizwa kwa malengo flani. Kwa mimi binafsi ninazidi kukuchukia kupitiliza.
Wewe ni chadema chumbani au chadema sebureni.
Hizo ndo wazee wa kale walisema mfa maji haachi kutapatapa. Unajua ukweli ukishadhihiri hakuna silaha iliyokali dhidi ya ukweli. Anachojaribu kufanya ZZK ni kuwadanganya wale wasiojua ukweli. Wahenga walisema ukishamjua adui yako ujue uko salama, Niwatake viongozi na wanachama wa CHADEMA waendelee na agenda nyingine tu maana hii tayari ni dhahiri imeshakwisha, watatumia gharama za walipa kodi kuendelea kufadhili ZZK lakini naamini ukweli utaendelea kudhihiri tu.
Kila enzi na kitabu chake, enzi za kitabu cha zzk kimeshapita sasa tuangalie mengine tu,
Vifaranga wanachekesha
Kama ndio mwenye CDM mbona mbona anakibomoa propaganda za kitoto peleka chekechea tanyu lini mfuasi wa Mungu kwa dhati kabisa akapendwa na shetani.yaani mfuasi wa chadema kwa dhati kabisa akapendwa na shetani(magamba).hayo ndio ya Zitto.Huna cha kuongea kwa nini usikae ule mandazi na watoto kuliko kuandika vioja humu wewe nani ndani ya chadema toa kelele zako humu zitto ndiyo mwenye chadema.