Mr Dhaifu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 778
- 184
hapo akisha miminiwa anafurahi.ulijuaje! Cheki hii picha
hapo akisha miminiwa anafurahi.ulijuaje! Cheki hii picha
Wewe sema lolote comrade, we are in the winning team.Wewe ni chadema chumbani au chadema sebureni.
mkuu! Kwaiyo dhumini lake lilosalia ni kutugombanisha? Binafsi naona ni heri atoke ndani ya cdm ili aweze kuishambulia vizuri chadema. Kwani unapokua ndani ya cdm naamini hatoweza kuishambulia vizuri.
Huna cha kuongea kwa nini usikae ule mandazi na watoto kuliko kuandika vioja humu wewe nani ndani ya chadema toa kelele zako humu zitto ndiyo mwenye chadema.
Wewe ni chadema chumbani au chadema sebureni.
wewe ndio kati ya wa.pu.uzi na wa.ji.nga ambao wanazidi kutuweka ndani ya mjadala wa chuki huku hatupati mwafaka. Mwanachadema mwenye kutaka mabadiliko hawezi kuandika kwa sasa utumbo wa namna hii. Kaa usubili viongozi watakuja na suruhisho gani sio kuandika andika tu.

Hizo ndo wazee wa kale walisema mfa maji haachi kutapatapa. Unajua ukweli ukishadhihiri hakuna silaha iliyokali dhidi ya ukweli. Anachojaribu kufanya ZZK ni kuwadanganya wale wasiojua ukweli. Wahenga walisema ukishamjua adui yako ujue uko salama, Niwatake viongozi na wanachama wa CHADEMA waendelee na agenda nyingine tu maana hii tayari ni dhahiri imeshakwisha, watatumia gharama za walipa kodi kuendelea kufadhili ZZK lakini naamini ukweli utaendelea kudhihiri tu.
Kila enzi na kitabu chake, enzi za kitabu cha zzk kimeshapita sasa tuangalie mengine tu,
Huna cha kuongea kwa nini usikae ule mandazi na watoto kuliko kuandika vioja humu wewe nani ndani ya chadema toa kelele zako humu zitto ndiyo mwenye chadema.
Wanajamvi nawatakia xmas njema na khery ya mwaka mpya.
Dhumuni la kufungu thread yangu leo,ni kuhusiana na mambo yanayoendelea kati ya zito na vingozi wake ndani ya chadema.
Kwanza kabisa naomba niwe wazi kabisa, ya kwamba mimi sivutiwi na siasa anazozifanya zito period.
Nichotaka kukushauri na kukuomba,kwanini usiondoke cdm ili utuachie chama chetu?alafu kwanza ulikwisha wai kusema utaachana na siasa! Sasa kwanini unaleta vibwanga au ndio unafanya siasa za chuki na kulipiziana visasi?
Atanaivyo nasikia kigoma inaongozwa na upinzani,tena cha kufurahisha inaonekana nccr ndiyo yenye nguvu kwa upinzani kuliko cdm. Sasa kwanini usiende huko?
Kwa style hii sisi wanachama wa chadema tunazidi kuamini wewe ni pandikizi umepandikizwa kwa malengo flani. Kwa mimi binafsi ninazidi kukuchukia kupitiliza.
Mkuu ungekua unaipenda CDM ungeishauri KK wamfukuze Zzk. Bt kumtaka aondoke ni ishara ya woga kwa Zzk.Chagueni mmoja zito ndani ya CDM ni hatari hadi Democracy ipatikane ndani ya chama.Zito akiwa nje ya chama ni hatari sana,anajua weakness ya CDM.nakumbuka ilivyokua ngumu kwa Chacha Wangwe hadi Deus alipookoa Jahazi.Wanajamvi nawatakia xmas njema na khery ya mwaka mpya.
Dhumuni la kufungu thread yangu leo,ni kuhusiana na mambo yanayoendelea kati ya zito na vingozi wake ndani ya chadema.
Kwanza kabisa naomba niwe wazi kabisa, ya kwamba mimi sivutiwi na siasa anazozifanya zito period.
Nichotaka kukushauri na kukuomba,kwanini usiondoke cdm ili utuachie chama chetu?alafu kwanza ulikwisha wai kusema utaachana na siasa! Sasa kwanini unaleta vibwanga au ndio unafanya siasa za chuki na kulipiziana visasi?
Atanaivyo nasikia kigoma inaongozwa na upinzani,tena cha kufurahisha inaonekana nccr ndiyo yenye nguvu kwa upinzani kuliko cdm. Sasa kwanini usiende huko?
Kwa style hii sisi wanachama wa chadema tunazidi kuamini wewe ni pandikizi umepandikizwa kwa malengo flani. Kwa mimi binafsi ninazidi kukuchukia kupitiliza.
Siku kumi na nne zimefika ama bado hazijafika?
CDM mnajichimbia sehemu ya kujifukia wenyewe.... kutokana na kujichanganya kwenu.
Mlisema Zitto hawababaishi, mbona kila kukicha mwaweweseka hadi kufikia hatua ya kuanza kuipigia chapuo gongo........
Acha usenge ww,km vp hama ww kwani chama ni chadema tu? Huridhiki na hali ya chadema kwa sasa tafuta mlango wa kutokea c lazma uendele kuwepo.....
Kwani umelazimishwa Kusima?
Hata iwe umeisoma kwa Bahati mbaya,ni lazima utoe comment!?
Zitto must go kwa gharama yoyote, kumuacha ni kusema chadema ndio mwisho wake na kuthibitisha kuwa kumbe Chadema ni Zitto jambo ambalo mamiloni ya Wana chadema hatutaki kuamini ni hivyo!