Kama wafuasi na Zitto mwenyewe wanaona ni maarufu kuliko CHADEMA,kujikomba kwa chama chakavu ili muwe na uhuru zaidi na kufaidi mengi ya ccm...anzisheni chama chenu kitakachoitwa chama cha Demokrasia na Usaliti(CHADUSA).TUMECHOKA.
Zitto mnamuona kama mungu mtu ee? Huyu ni msaliti,ana tamaa ya madaraka nk.Eti amekata rufaa,kwa ajili gani? Huku sikung'ang'ania madaraka? Aende zake Mwandiga akauze mawese na kuvua samaki. Tumemchoka.
Wafuasi wa ZZK anzisheni chama chenu ili muwe maarufu zaidi. Kwa nini mnang'ang'ania CDM?