Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,124
Wanajamvi nawatakia xmas njema na khery ya mwaka mpya.
Dhumuni la kufungu thread yangu leo,ni kuhusiana na mambo yanayoendelea kati ya zito na vingozi wake ndani ya chadema.
Kwanza kabisa naomba niwe wazi kabisa, ya kwamba mimi sivutiwi na siasa anazozifanya zito period.
Nichotaka kukushauri na kukuomba,kwanini usiondoke cdm ili utuachie chama chetu?alafu kwanza ulikwisha wai kusema utaachana na siasa! Sasa kwanini unaleta vibwanga au ndio unafanya siasa za chuki na kulipiziana visasi?
Atanaivyo nasikia kigoma inaongozwa na upinzani,tena cha kufurahisha inaonekana nccr ndiyo yenye nguvu kwa upinzani kuliko cdm. Sasa kwanini usiende huko?
Kwa style hii sisi wanachama wa chadema tunazidi kuamini wewe ni pandikizi umepandikizwa kwa malengo flani. Kwa mimi binafsi ninazidi kukuchukia kupitiliza.
Hapo kwenye red ni kauli ya kipumbavu kutumika katika siasa zenye misingi ya kidemokrasia na ushirikishwaji wa umma katika kupanga na kuamua mambo yao.Wewe nani kakupa chama cha siasa kuwa mali yenu au yako?