Tumshauri Zitto...

Status
Not open for further replies.

Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
1,195
Zitto anahitaji kushauriwa kuwa kama anapenda kuwa mwana CDM kwa dhati, afanye mambo yafuatayo:
 1. Awaheshimu viongozi wake.
 2. Akemee wana CCM wanaotamani CDM kusambaratika.
 3. Aheshimu chama chake kama ambavyo kina Mwigulu wanavyokuwa watiifu kwa CCM yao.
 4. Awe makini na wanaomsifia hasa vyombo vya CCM na serikali
 5. Awaambie watanzania kuwa yeye si zaidi ya chama;

Mengine mnaweza kuongeza.
 
Eng. Y. Bihagaze

Verified Member
Sep 8, 2011
1,483
2,000
Muulize Zito, hiki anachokifanya hata mwenyewe hakijui, ila Kwa Sababu kinaratibiwa from pai-Zone Hana budi kukifanya tu.. Hata ukimshauri too late.. Hata Hotuba anaandaliwa from pai-Zone. Anahitaji kuhuruniwa zaidi .

Chadema hawapigani Na ZITTO, Kuna maelfu ya mijitu yenye Akili inamchezesha to Kama game la laptop. Ukiisoma Hotuba yake haina Kichwa wala mkia, hushangai tokalini Zitto akaandikiwa hotuba.. Jiulize..
 
Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
1,195
Akifanya anachokita atapotea mazima.

Na atapotea na wengi
 
Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
1,195
Muulize Zito, hiki anachokifanya hata mwenyewe hakijui, ila Kwa Sababu kinaratibiwa from pai-Zone Hana budi kukifanya tu.. Hata ukimshauri too late.. Hata Hotuba anaandaliwa from pai-Zone. Anahitaji kuhuruniwa zaidi .

Chadema hawapigani Na ZITTO, Kuna maelfu ya mijitu yenye Akili inamchezesha to Kama game la laptop. Ukiisoma Hotuba yake haina Kichwa wala mkia, hushangai tokalini Zitto akaandikiwa hotuba.. Jiulize..

Sikujua hili la kuandikiwa hotuba.

Zitto ajue CCM wanampoteza jumla.

Zitto jiulize wako wapi hawa:
 1. Walid Kabour
 2. Lamwai
 3. Mtela
 4. Juliana
 5. Tambwe
 6. Shitambala
Walikuwa wazuri wakiwa CDM lakini leo wako wapi , ogopa kusifiwa na adui wako.
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280

ZItto kajiunga na kundi linalowaka moto CCM. CCM wmenye akambi mbaya nyingi sana hadi hawakumbuki.Nyingine sasa zinawapeleka km Zombies.
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
Zitto anahitaji kushauriwa kuwa kama anapenda kuwa mwana CDM kwa dhati, afanye mambo yafuatayo:
 1. Awaheshimu viongozi wake.
 2. Akemee wana CCM wanaotamani CDM kusambaratika.
 3. Aheshimu chama chake kama ambavyo kina Mwigulu wanavyokuwa watiifu kwa CCM yao.
 4. Awe makini na wanaomsifia hasa vyombo vya CCM na serikali
 5. Awaambie watanzania kuwa yeye si zaidi ya chama;

Mengine mnaweza kuongeza.
mbona viongozi wa chadema wameshindwa kumweshimu zitto?
 
Dr.Mo

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
3,810
1,225
atakua na political fate mbaya sana...enzi za ukombozi south winnie mandela alikua akiwafunga tairi na kuwachoma moto wasaliti...hapa atafugwa tairi la moto wa kisiasa
 
mayange

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
701
195
kweli ndio naamini zitto ananguvu sana, maana kateka fikra za watu. Angekuwa si mtu mwenyenguvu asingesumbua vichwa vya watu kila siku kumjadili. Hivi angekuwa zitto ndo ben saanane, au yeriko nyerere watu wangesumbua vichwa kupost hum jf kama watu wanavyofanya kwa zitto? Huenda wengi wasinge juwa kinachoendelea.
 
Said Buko

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
244
170
Sikujua hili la kuandikiwa hotuba.

Zitto ajue CCM wanampoteza jumla.

Zitto jiulize wako wapi hawa:
 1. Walid Kabour
 2. Lamwai
 3. Mtela
 4. Juliana
 5. Tambwe
 6. Shitambala
Walikuwa wazuri wakiwa CDM lakini leo wako wapi , ogopa kusifiwa na adui wako.

hapo kuna wa kumfananisha na zzk?
 
Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
1,195
kweli ndio naamini zitto ananguvu sana, maana kateka fikra za watu. Angekuwa si mtu mwenyenguvu asingesumbua vichwa vya watu kila siku kumjadili. Hivi angekuwa zitto ndo ben saanane, au yeriko nyerere watu wangesumbua vichwa kupost hum jf kama watu wanavyofanya kwa zitto? Huenda wengi wasinge juwa kinachoendelea.

Ndio mnaomvimbisha kichwa.

Nimekupa list walijadiliwa kama yeye lakini hawakusikia, wakatimkia CCM, unawasikia siku hizi.?
 
Hebie

JF-Expert Member
Jul 29, 2012
1,347
2,000
Nani asiyemheshimu Zitto?

Kivipi?

Najua wewe ni mwana CCM kwa vyovyote wewe ni mzigo ndio maana huna hoja.

Usipoteze muda kuwajibu wafuatao.
1. mwa 4
2.maringo7
3.mageti6
4.ritz

Chunguza hizo id zao. fanananisha na post zao hapa jf.
 
Mr Dhaifu

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
774
250
Zitto anahitaji kushauriwa kuwa kama anapenda kuwa mwana CDM kwa dhati, afanye mambo yafuatayo:
 1. Awaheshimu viongozi wake.
 2. Akemee wana CCM wanaotamani CDM kusambaratika.
 3. Aheshimu chama chake kama ambavyo kina Mwigulu wanavyokuwa watiifu kwa CCM yao.
 4. Awe makini na wanaomsifia hasa vyombo vya CCM na serikali
 5. Awaambie watanzania kuwa yeye si zaidi ya chama;

Mengine mnaweza kuongeza.
Hela hizo za mafisadi magamba zinafanya kazi ndio maana dogo anakiburi.
 
Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
1,195
Usipoteze muda kuwajibu wafuatao.
1. mwa 4
2.maringo7
3.mageti6
4.ritz

Chunguza hizo id zao. fanananisha na post zao hapa jf.

Isijenashughulika na mzigo mmoja wa CCM.

Wote hawa ni Mizigo hapa JF
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom