Tumshauri Zitto...

Tumshauri Zitto...

Status
Not open for further replies.
Hana heshima, lakini anataka awe Mkiti wa CDM ili aheshimiwe!!!
 
mmechoka kwan chama mlijenga peke yenu,nyie na babu wenu mkute tumecha jenga chama mlete mageuzi.zitto atakuwa wa mwisho kutoka chadema

Waliojenga chama hawasemi wewe!!!so unataka kusema kila aliyejenga chama then asaliti na kuvunja katiba na aachwe tu,kisa amejenga chama kutakuwa na chama kweli!!?mbinu mnayotaka kutumia ya kujifanya Zito hatoki CDM ni kujidanganya,ni suala la muda tu.
 
Zitto hashauriki,atashaurikaje wakati swahiba wake ni mwigulu na Wassira (A group killers)
 
ACHA UWONGO, katika kipindi cdm ilikuwa na nguvu ni baada ya 2005 hadi 2010...nguvu ya cdm ilitokana na AKILI nyingi za ZZK...kabouru kaachia madaraka 2006 kama sikosei..

Dah jamni mmezidi kwahiyo CDM imepata nguvu baada ya ZZK kuwa na akili nyingi,nyie hamtakii mema upinzani Tanzania kwa sifa za kijinga mnazompa huyo mbinafsi wenu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
kiukweli inanikera pia inanikatisha tamaa.
Si mara moja kwa post zangu kufutwa ama kuunganishwa.
Inabidi moderators,paw,invisible na wahusika wengine waliangalie kwa mapana ili kulipa heshma jukwaa letu.
Kwa wingi wetu tunaanza kuamini mamoderators wapo upande flani na mlengo flani.

unaweza kuwa sawa kuna mtu alilalamika baada uzi wake wa kapuya kuyeyuka nafikiri hali ikiendelea hivyo watu wanaweza kutafuta majukwaa mengine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom