Tumshauri Zitto...

Tumshauri Zitto...

Status
Not open for further replies.
Nimejaribu kufuatilia mijadala mbali mbali humu ndani, nimejiuliza swali hilo hapo juu. Je, Chadema itakufa Zitto akifukuzwa uanachama? Katika mijadala mingi ukiisoma unaona kwamba kuna mgongano tu wa mawazo kwa vyama hivi viwili vinavyokimbizana kwenye siasa zetu hapa nchini, CHADEMA na CCM. Wale wa CCM mijadala yao yote inamtetea ZITTO na kumuona kwamba bila Zitto hakuna CDM. Wale wa CHADEMA bado wana msimamo wao wa kwamba Zitto ni msaliti katika chama.

Hebu sasa tuache bias zote za vyama hivi viwili, hebu tuingie akilini sasa tujiulize kwa fikra pevu, ni kweli bila Zitto Chadema haipo?

Watu wameegemea kwenye misafara ya viongozi wawili walioenda Kigoma, Dr. Slaa na Zitto, lakini tukumbuke kwamba mmoja hajaitembelea Kigoma, ni mwenyeji wa Kigoma, ni mbunge kutoka Kigoma. Dr. Slaa alipata mapokezi makubwa, Zitto amepata mapokezi makubwa, nani anakubalika zaidi? Mgeni au mwenyeji?

Kwangu mimi ili nione kwamba CDM ni Zitto, aende Mwanza, Arusha, Moshi, Dar, Mbeya, Iringa nk. apate mapokezi makubwa hivi.

Umenena mkubwa.
 
kwasababu humjui zitto ndiyo maana unaongea haya lakini wakati utatuambia tu.

Mbona huelweki mkuu au umeandika kwa kuwa unajua kusoma na kuandika ?!! Kama washauri wa Zito ndo hawa unategemea nini !!.
 
Mkuu popote Zitto atakakokwenda lazma atingishe mkuu, zitto ana karisma
 
CDM ikafa hata wasaliti watakufa na njaa, maana si ni chanzo kikuuu cha mapato??? mtasaliti nini wazazi wenu???
 
Yaani huyu kategeshewa kingi kaingia mwenyewe jumla. Chama kilikuwa kinatafuta ushahidi wa wazi kutoka kinywa chake mwenyewe na hatimaye kimeupata bila jasho. Huyu hachomoki asilani. Chezea magwiji wa sheria na siasa waliotulia pale Mtaa wa Ufipa weye; pana vichwa pale usifanye mchezo.

mkuu la kuvunda halina ubani
 
zitto akifukuzwa chadema haitokufa bali itapotea kwenye siasa kama nccr mageuzi.tlp na cuf
 
CCM wanamvimbisha kichwa ZZK ili apotee katika siasa lengo lao ni CDM kuanguka.

Wana CCM hawana muda wakujadili hali ya chama chao na serikali yao. CCM na serikali ni vurugu tupu, mara magamba , mara kuna mawaziri mizigo.

Mpambeni ZZK mpaka achanganyikiwe, mimi nampa ushauri tu wa kupima hali yake kisiasa ndania ya chama chake.
 
Zito anapambana na watu waliofanikiwa badala ya kujifunza kwao.
 
zitto akifukuzwa chadema haitokufa bali itapotea kwenye siasa kama nccr mageuzi.tlp na cuf

makalio yameruhusiwa rasmi kutumika kwa kazi ambazo kichwa kilikuwa kinafanya, hivyo tuona na kusikia mengi. Nyerere alikufa TZ ipo, itakuwa huyu kijana?? achene makalio nayo yatanue vichwa viko likizo.
 
Uongozi wa cdm ulifanya makosa makubwa sana kumuadhibu mh huyu nusunusu sasa they have to pay a price kwa maamuzi yao mabovu na ya hovyo kabisa. Nasema wacha waonje joto ya jiwe ili huko mbeleni wasijerudia makosa haya tena.
 
ZZK kiburi kitampoteza.

Suburini tu.
 
Nimejaribu kufuatilia mijadala mbali mbali humu ndani, nimejiuliza swali hilo hapo juu. Je, Chadema itakufa Zitto akifukuzwa uanachama? Katika mijadala mingi ukiisoma unaona kwamba kuna mgongano tu wa mawazo kwa vyama hivi viwili vinavyokimbizana kwenye siasa zetu hapa nchini, CHADEMA na CCM. Wale wa CCM mijadala yao yote inamtetea ZITTO na kumuona kwamba bila Zitto hakuna CDM. Wale wa CHADEMA bado wana msimamo wao wa kwamba Zitto ni msaliti katika chama.

Hebu sasa tuache bias zote za vyama hivi viwili, hebu tuingie akilini sasa tujiulize kwa fikra pevu, ni kweli bila Zitto Chadema haipo?

Watu wameegemea kwenye misafara ya viongozi wawili walioenda Kigoma, Dr. Slaa na Zitto, lakini tukumbuke kwamba mmoja hajaitembelea Kigoma, ni mwenyeji wa Kigoma, ni mbunge kutoka Kigoma. Dr. Slaa alipata mapokezi makubwa, Zitto amepata mapokezi makubwa, nani anakubalika zaidi? Mgeni au mwenyeji?

Kwangu mimi ili nione kwamba CDM ni Zitto, aende Mwanza, Arusha, Moshi, Dar, Mbeya, Iringa nk. apate mapokezi makubwa hivi.
wewe mwenyewe ni chadema chumbani kwahiyo lazima utametetea slaa ili upate chakula lakini ukweli bila zitto hakuna chadema kabisa.
 
kosa lake lipi kikatiba au manjonjo tu hapa na uhafidhina
..unajua maana ya uhafidhina...kuso lake ukiacha mengine ni kuleta utengeno badala ya umoja....kwa sasababu ya njaa ya fedha...with poor egoisim
 
makalio yameruhusiwa rasmi kutumika kwa kazi ambazo kichwa kilikuwa kinafanya, hivyo tuona na kusikia mengi. Nyerere alikufa TZ ipo, itakuwa huyu kijana?? achene makalio nayo yatanue vichwa viko likizo.

matusi hayasaidii lakini zitto ndiye kakuza chadema anauwezo wa kuiua kwa mikono yake mwenyewe.
 
cha ajabu yeye kimyaaa, nyinyi ndio kutwa kumsemasema!

kwako yupo kimya..eh.Akionge aitakuweje?Sasa hivi anamwaga chuki zake dhini ya wachaga, huku akijidai kuwa ana devide and rule wachaga..haha.What a useless move.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom